Serikalini watu tunaishi kwa kuiba; huu ndo ukweli

Serikalini watu tunaishi kwa kuiba; huu ndo ukweli

Unaingia kazin saa1 unatoka job saa 9+ uwo mda wa kufanya kaz zingne na kuongeza kipato anautoa wap, wacha tu waibe akuna asoiba
Wezi wote huwa mnasema hakuna asie iba😁😁 ona mwenzako.
downloadfile-15.jpg
 
Ni kweli kabisa wengi wao ni wezi.lakini Huwa nasikia watumishi wa Tiss ni wazalendo sana ambao hawajawahi kula rushwa Wala kuenda kinyume na taratibu za Nchi.je kunaukweli?
 
Mshahara ni wa kiasi gani huo usiotosha na ukiwa kiasi gani ndo hutoiba?
 
Ni kweli kabisa wengi wao ni wezi.lakini Huwa nasikia watumishi wa Tiss ni wazalendo sana ambao hawajawahi kula rushwa Wala kuenda kinyume na taratibu za Nchi.je kunaukweli?
Nani huyo Aliyekudanganya Mkuu? Tena hao baadhi yao kwa sasa ndiyo wanachukua Rushwa kuliko hata Mama yao.
 
Back
Top Bottom