Serikalini watu tunaishi kwa kuiba; huu ndo ukweli

Serikalini watu tunaishi kwa kuiba; huu ndo ukweli

Tatizo kubwa ni kuwa nchi inazidi kudidimia hivyo hata hicho kidogo baadaye kitakuwa hakipo...Kama watu wangekubali kusaidia wenye uwezo na upeo kushika nafasi takiwa, wala kusingekuwa na shida ya kuiba maana ni rahisi mno kurekebisha uchumi wa Tanzania na kuongeza vipato kwa haraka...Tatizo wengi walioko huko uwezo wao ni mdogo kwakua hawajawa well trained na wengi wao hawana exposure
Si umeona wajinga wajinga wote kila mmoja anapambana kumwachia mwanae kijiti aendelee kuwala Watanganyika wajinga.
 
Huu ndio utoto. Ilikuwa na haja gani ya kutuambia sisi tulio nje ya mfumo.

Sio utoto, ni laana. Wewe unadhani ni kwanini Nape aliamua kusema wazi jinsi wanavyoiba kura? Hakupenda ni laana. Yaani huyu ameajiriwa amekuta wizi, inawezekana wazazi wake pia walikuwa wezi, mpaka ameona ni kawaida kabisa autangazie umma. Sio kosa lake.
 
Bila wizi hii mishahara tusingeweza kufanya jambo lolote

Ndo maana walimu wanalia Sana ni kwa sababu hawana sehemu ya kuokota .

Hakuna MTU ambaye haibi wala kupiga dili .
Kuna Fursa (ya kufanya wizi) na Tabia (ya wizi). Kama hauna tabia ya wizi na ukakutana na fursa ya kufanya wizi; hakika HAUTAIBA, na kinyume chake ni sahihi. Kwa hiyo wapo watumishi wanaokomaa na kipato hicho (japo kidogo) hadi kustaafu. Nimewashuhudia, nimeishi nao na bado tupo!!!
 
Mwanangu bora umeusema ukweli kuliko kujifanya mnafiki km wanafiki wengine... eti fungua mradi sijui nn wakati ndo wezi no moja.Bongo wafanya kazi wengi ni wapigaji huo ndo ukweli ww nenda hata hosptal ukitaka ndugu yako apate huduma kwa raha ww cheza na manes wa shift mgonjwa ataishi km yuko u swizi.Sasa jifanye kauzu km hata ndugu yako hajavuta .
 
Back
Top Bottom