Wauzaji wa containers
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 615
- 1,443
100% i agree hili sio utani ndo uhalisiia au ukope uish kwenye dimbwi la umaskinBila wizi hii mishahara tusingeweza kufanya jambo lolote
Ndo maana walimu wanalia Sana ni kwa sababu hawana sehemu ya kuokota .
Hakuna MTU ambaye haibi wala kupiga dili .
Acha wizi mkuu ,sio kila mtu anaiba bwashee.
Acha wizi bwashe , namna ya kuongeza kipato sio ya wizi , pata hicho kidogo fanya miradi ya kukuza kipato .Je familia yangu utailisha mkuu hakuna ambaye hapigi madili labda Kama hauna nafasi
Acha wizi bwashe , namna ya kuongeza kipato sio ya wizi , pata hicho kidogo fanya miradi ya kukuza kipato .
tanzania wafanyakazi karibu wote wa serikali ni wezi.Acha wizi bwashe , namna ya kuongeza kipato sio ya wizi , pata hicho kidogo fanya miradi ya kukuza kipato .
kodi, chakula, usafiri laki 6 laki moja unatunza 😂😂😥Ni kweli dunia ya sasa mshahara wa laki 7 utafania nini
Hebu tuambie Mimi mwalimu wa darasa form 3C naiba nini!? Punguza kugeneralise,think from simple to complexBila wizi hii mishahara tusingeweza kufanya jambo lolote
Ndo maaana walimu wanalia Sana ni kwa sababu hawana sehemu ya kuokota .
Hakuna MTU ambaye haibi wala kupiga dili .
Unafki tutanzania wafanyakazi karibu wote wa serikali ni wezi.
Mtu anayeenda nssf kuchukua stahiki zake anazungushwa wee, anaambiwa ukitaka mambo yaende haraka tutachukua 10% anakubali. anayemwambia hivyo unakuta ni kabinti kanajifanya kameokoka. baada ya pesa kutoka kanachukua mgao halafu jumapili kanaenda kanisani toa fungu la kumi na ushuhuda kuwa mchungaji alikaombewa kuna deal kalikuwa kanasikilizia likatiki. kumbe deal lenyewe ndo hilo.
Hata tuambie Mimi mwalimu wa darasa form 3C naiba nini!? Punguza kugeneralise,think from simple to complex
😁😁😁Upambane kwenye wizi !!! Unapoiba ili watoto wako wale jua unaibia watoto wa wengine wanalala njaa, ni ubinafsi wa hali ya juu mno.Sawa mkuu tunapambana mkuu .
😁😁😁Upambane kwenye wizi !!! Unapoiba ili watoto wako wale jua unaibia watoto wa wengine wanalala njaa, ni ubinafsi wa hali ya juu mno.
Tatizo kubwa ni kuwa nchi inazidi kudidimia hivyo hata hicho kidogo baadaye kitakuwa hakipo...Kama watu wangekubali kusaidia wenye uwezo na upeo kushika nafasi takiwa, wala kusingekuwa na shida ya kuiba maana ni rahisi mno kurekebisha uchumi wa Tanzania na kuongeza vipato kwa haraka...Tatizo wengi walioko huko uwezo wao ni mdogo kwakua hawajawa well trained na wengi wao hawana exposureBila wizi hii mishahara tusingeweza kufanya jambo lolote
Ndo maana walimu wanalia Sana ni kwa sababu hawana sehemu ya kuokota .
Hakuna MTU ambaye haibi wala kupiga dili .
Tatizo kubwa ni kuwa nchi inazidi kudidimia hivyo hata hicho kidogo baadaye kitakuwa hakipo...Kama watu wangekubali kusaidia wenye uwezo na upeo kushika nafasi takiwa, wala kusingekuwa na shida ya kuiba maana nji rahisi mno kurekebisha uchumi wa Tanzania na kuongoza vipato kwa haraka...Tatizo wengi walioko huko uwezo wao ni mdogo kwakua hawajawa well trained na wengi wao hawana exposure