Serikalini watu tunaishi kwa kuiba; huu ndo ukweli

Ni kweli kabisa wengi wao ni wezi.lakini Huwa nasikia watumishi wa Tiss ni wazalendo sana ambao hawajawahi kula rushwa Wala kuenda kinyume na taratibu za Nchi.je kunaukweli?
 
Mshahara ni wa kiasi gani huo usiotosha na ukiwa kiasi gani ndo hutoiba?
 
Ni kweli kabisa wengi wao ni wezi.lakini Huwa nasikia watumishi wa Tiss ni wazalendo sana ambao hawajawahi kula rushwa Wala kuenda kinyume na taratibu za Nchi.je kunaukweli?
Nani huyo Aliyekudanganya Mkuu? Tena hao baadhi yao kwa sasa ndiyo wanachukua Rushwa kuliko hata Mama yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…