Seriouly natafuta mwanamke wa kuishi nae

Seriouly natafuta mwanamke wa kuishi nae

ngaribazezeta

Member
Joined
Dec 11, 2017
Posts
82
Reaction score
47
Habari wana jamvi,

Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 37, nina elimu ya chuo kikuu na kazi nzuri, nimekamilika biologically, physically.

Kitabia mimi ni binadamu sio malaika. Imani yangu ni Mkristo mkatoliki, ni mwenyeji wa Arusha lakini ninafanya kazi zangu mikoa ya Lindi na Mtwara.

Ninahitaji mwanamke ambaye ameshafanya uamuzi wa kutulia na mume na kutengeneza maisha. Sijali sana sura yake wala umbo ninachojali sana ni akili, ubunifu, bidii kwenye kazi na awe na hofu ya Mungu.

Awe na umri usiopungua miaka 24 na usiozidi miaka 30. Mwanamke aliye serious na anayetaka kunihoji maswali kufahamu chochote zaidi ani PM.

Madalali hawatakiwi
 
Back
Top Bottom