Serious man needed baadae awe mume

miss charming

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2016
Posts
910
Reaction score
905
Habari zenu wote.. Ikiwa imetimia mwaka mmoja bila kuwa na mahusiano tangu niachane na mwanaume ambae nilimfumania na rafiki yangu na kupelekea kuachana nimeamua sasa kuingia rasmi kwenye relationship na mwanaume naemuhitaji kwanza;
1.Awe mchamungu
2.awe mpole kiasi
3.awe tayari kupima
4.awe na elimu ya juu kidogo kuliko maana mm Nina diploma
5. Mrefu kiasi mweupe kiasi au maji ya kunde asiwe mweusi sana
6. Awe anajielewa Mwenye future, vision na awe na Kazi inayomwingizia kipato
7. Miaka 28-35
8. Awe tayari kutofanya mapenzi mpaka tufunge ndoa au mpaka nitakapojiridhisha kwamba yeah he deserves to be my future hubby.
Mwisho wa yote awe na mapenzi ya dhati na ambae atajifanya analeta janjajanja asijisumbue Kabisa ..
Sifa zangu mom
1. Maji ya kunde
2. Elimu diploma
3. Nimeajiliwa
4. Dini muislam

Pm kwa maelezo zaidi

N:B Asiyekunywa pombe
 

hapo ndo tatizo linapoanzia...
 
Kwenye umri please consider 35+ ni muhimu kwa mtu kama wewe kwakuwa zaidi ya kuwa mume lazima Kwenye baadhi ya majukumu atakuwa kama baba kaka au hata rafiki na kuna wakati kama binamu!
 

Hapo kwenye red juu
Kazi ninayo sema kipato kinaingia Bank na Bodi ya Mikopo
 
Mkiwa mnatoa matangazo ya ivi mwemnaweka na picha zenu. Maana ukiona mwanamke ameshindikana kuolewa mpaka kafikia kujitangaza inawezekana ametumika sana au reception mbovu.
Hapana sishauri na sio hekima. JF ni tofauti na mitandao mingine, si kila anayetangaza hapa kashindikana la hasha! Hawa ni wanawake wanaojitambua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…