Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TUPIAPO KA PICHA, CHURA YUPO?Habari zenu wote.. Ikiwa imetimia mwaka mmoja bila kuwa na mahusiano tangu niachane na mwanaume ambae nilimfumania na rafiki yangu na kupelekea kuachana nimeamua sasa kuingia rasmi kwenye relationship na mwanaume naemuhitaji kwanza;
1.Awe mchamungu
2.awe mpole kiasi
3.awe tayari kupima
4.awe na elimu ya juu kidogo kuliko maana mm Nina diploma
5. Mrefu kiasi mweupe kiasi au maji ya kunde asiwe mweusi sana
6. Awe anajielewa Mwenye future, vision na awe na Kazi inayomwingizia kipato
7. Miaka 28-35
8. Awe tayari kutofanya mapenzi mpaka tufunge ndoa au mpaka nitakapojiridhisha kwamba yeah he deserves to be my future hubby.
Mwisho wa yote awe na mapenzi ya dhati na ambae atajifanya analeta janjajanja asijisumbue Kabisa ..
Sifa zangu mom
1. Maji ya kunde
2. Elimu diploma
3. Nimeajiliwa
4. Dini muislam
Pm kwa maelezo zaidi
Habari zenu wote.. Ikiwa imetimia mwaka mmoja bila kuwa na mahusiano tangu niachane na mwanaume ambae nilimfumania na rafiki yangu na kupelekea kuachana nimeamua sasa kuingia rasmi kwenye relationship na mwanaume naemuhitaji kwanza;
1.Awe mchamungu
2.awe mpole kiasi
3.awe tayari kupima
4.awe na elimu ya juu kidogo kuliko maana mm Nina diploma
5. Mrefu kiasi mweupe kiasi au maji ya kunde asiwe mweusi sana
6. Awe anajielewa Mwenye future, vision na awe na Kazi inayomwingizia kipato
7. Miaka 28-35
8. Awe tayari kutofanya mapenzi mpaka tufunge ndoa au mpaka nitakapojiridhisha kwamba yeah he deserves to be my future hubby.
Mwisho wa yote awe na mapenzi ya dhati na ambae atajifanya analeta janjajanja asijisumbue Kabisa ..
Sifa zangu mom
1. Maji ya kunde
2. Elimu diploma
3. Nimeajiliwa
4. Dini muislam
Pm kwa maelezo zaidi
Nna sifa hizo. Shaka ondoaHabari zenu wote.. Ikiwa imetimia mwaka mmoja bila kuwa na mahusiano tangu niachane na mwanaume ambae nilimfumania na rafiki yangu na kupelekea kuachana nimeamua sasa kuingia rasmi kwenye relationship na mwanaume naemuhitaji kwanza;
1.Awe mchamungu
2.awe mpole kiasi
3.awe tayari kupima
4.awe na elimu ya juu kidogo kuliko maana mm Nina diploma
5. Mrefu kiasi mweupe kiasi au maji ya kunde asiwe mweusi sana
6. Awe anajielewa Mwenye future, vision na awe na Kazi inayomwingizia kipato
7. Miaka 28-35
8. Awe tayari kutofanya mapenzi mpaka tufunge ndoa au mpaka nitakapojiridhisha kwamba yeah he deserves to be my future hubby.
Mwisho wa yote awe na mapenzi ya dhati na ambae atajifanya analeta janjajanja asijisumbue Kabisa ..
Sifa zangu mom
1. Maji ya kunde
2. Elimu diploma
3. Nimeajiliwa
4. Dini muislam
Pm kwa maelezo zaidi
26Haujataja umr wako
Sio lazimaVigezo vyote ninavyo ila sitaki
Mbona watu mmeshadadia sana no 8 au ndo wengi intentions zenu ziko hivoDah!!! hiyo namba 8 aisee ngoja [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] hivi kama sio kuuziana mbuzi kwenye gunia ni nini!!!!!
vitumbua.comKAMA HAUTOI KITUMBUA NA HELA USIOMBE