Serious man needed baadae awe mume

Serious man needed baadae awe mume

Habari zenu wote.. Ikiwa imetimia mwaka mmoja bila kuwa na mahusiano tangu niachane na mwanaume ambae nilimfumania na rafiki yangu na kupelekea kuachana nimeamua sasa kuingia rasmi kwenye relationship na mwanaume naemuhitaji kwanza;
1.Awe mchamungu
2.awe mpole kiasi
3.awe tayari kupima
4.awe na elimu ya juu kidogo kuliko maana mm Nina diploma
5. Mrefu kiasi mweupe kiasi au maji ya kunde asiwe mweusi sana
6. Awe anajielewa Mwenye future, vision na awe na Kazi inayomwingizia kipato
7. Miaka 28-35
8. Awe tayari kutofanya mapenzi mpaka tufunge ndoa au mpaka nitakapojiridhisha kwamba yeah he deserves to be my future hubby.
Mwisho wa yote awe na mapenzi ya dhati na ambae atajifanya analeta janjajanja asijisumbue Kabisa ..
Sifa zangu mom
1. Maji ya kunde
2. Elimu diploma
3. Nimeajiliwa
4. Dini muislam

Pm kwa maelezo zaidi
TUPIAPO KA PICHA, CHURA YUPO?
 
Ni

Nikitimiza namba tatu si unipe punguzo kwenye namba nane?
 
Dah!!! hiyo namba 8 aisee ngoja [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] hivi kama sio kuuziana mbuzi kwenye gunia ni nini!!!!!
 
Vingezo vyote ninavyo but dini ni muumini wa Hinduism!

Halafu umri sijatimiza vingezo, na demu mwingine nataka niogeze mwingine wawe hata 2!!

Mim sina kazi hadi itokee dili!
 
Mi naomba unipe kama mwezi hivi ntakucheki. Tatizo langu ni mweusi sana kwa hiyo ngoja ninywe mengi au nitumie kalolaiti. Ila vigezo vyako vingine mbona vinapingana na uislam?
 
Habari zenu wote.. Ikiwa imetimia mwaka mmoja bila kuwa na mahusiano tangu niachane na mwanaume ambae nilimfumania na rafiki yangu na kupelekea kuachana nimeamua sasa kuingia rasmi kwenye relationship na mwanaume naemuhitaji kwanza;
1.Awe mchamungu
2.awe mpole kiasi
3.awe tayari kupima
4.awe na elimu ya juu kidogo kuliko maana mm Nina diploma
5. Mrefu kiasi mweupe kiasi au maji ya kunde asiwe mweusi sana
6. Awe anajielewa Mwenye future, vision na awe na Kazi inayomwingizia kipato
7. Miaka 28-35
8. Awe tayari kutofanya mapenzi mpaka tufunge ndoa au mpaka nitakapojiridhisha kwamba yeah he deserves to be my future hubby.
Mwisho wa yote awe na mapenzi ya dhati na ambae atajifanya analeta janjajanja asijisumbue Kabisa ..
Sifa zangu mom
1. Maji ya kunde
2. Elimu diploma
3. Nimeajiliwa
4. Dini muislam

Pm kwa maelezo zaidi
Nna sifa hizo. Shaka ondoa
 
Dah!!! hiyo namba 8 aisee ngoja [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] hivi kama sio kuuziana mbuzi kwenye gunia ni nini!!!!!
Mbona watu mmeshadadia sana no 8 au ndo wengi intentions zenu ziko hivo
 
Dini tuna pishana nahio no 8 kma cio mkwara njoo tuyajenge
 
Back
Top Bottom