Serious man needed baadae awe mume

Jamani tendo la ndoa ni ishu ndogo sana kwenye mahusiano. Kuna mengi sana ya kufanya ktk relationship. So don't panic men kama uko serious jitume upate mke
Umeonaee yaani hiki kigezo kimefanya tuwajue kwamba wanaume wengi humu ni matapeli
 
Umejounga tarehe 3 December ndani ya wiki 2 tu umeanza kupost application ya mume?
Cc: Mshana jr
 
Kwa hiyo namba nane jipange upya aiseeee mwenywe n mpole ila kwenye io ya nane hapana
 
Coment za humu ndani zimenivunja moyo kwa povu la namba 8 wengi wao ni wanzinzi
 
Kumbe ndio wale wale....unataka wa dini gani?
 
Interview lini dada mana ni shida afadhal vigezo vya ajira ya ikuru kuliko hivo. kwa nyakati hizi bado unatoa vigezo subiri utampata dada yangu lkn hujasema mshahara utamlipa kiasi gani kwa mwezi mana hiyo n kazi hadi elimu kipo kigezo tena above diploma hvo n degree du kwa kuoa tu. subiri
 
Hayo maswali unaniuliza mimi unamuuliza dadako?? Sio lazima utoe comment afu maswali ya utumbo utumbo tu, mxiuuu
Kama ulivyotoa vigezo acha wenyevigezo hivyo nao watafiti kama unavyo vyao pia. Usiwe mkali tulia
 
Coment za humu ndani zimenivunja moyo kwa povu la namba 8 wengi wao ni wanzinzi
Ila sio wote kuna baadhi ya wengine wapo serious....!!!

Ila cha msingi ujue kwamba humu JF utakutana na watu wa aina tatu ambao kuna watu waliokuwa na
- mke/Mume...
- wenye wapenzi....
- Na wasio kuwa na mke wala mpenzi.
Kwa hiyo umakini unahitajika kama mtoa Mada alivyobainisha hiyo Namba 8
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…