Serious man needed baadae awe mume

Asante kwa ushauri lakin pia mtu mstaarabu comment yake inajulikana na hata kama anachallenge utajua huyu mtu ni wa diazain gani.. Kwahiyo mm namjibu mtu kulingana na yeye alivokuja maana kuna watu wanachukulia watu wengine poa tu
 
Mungu akupe wepes ktk issue yko....
 
Ww lete tu hizo sifa zako na miaka inaenda itafika wakati utahitaji mme na sio sifa tena
 
Kutofanya mapenzi hadi kufunga ndoa nawe asikuhudumie chochote hadi mfunge ndoa.
 
Umekuwa Sasha Obama?
 
Mimi hapo kwenye tungi tu ndiyo umenifelisha. Ila waweza kuni customize kwa kuniwekea maziwa ya nguruwe kwenye bia basiii hapo utakuwa na yule hubby umtakaye
 
Real man bila kuchochana dadaangu, karne hii utakunywa sana spar-letta bar. Hao uliowapa mwanzoni bila masharti magumu walikuwa miungu ama binadamu kama sisi tu?
 
Hapo unaweza subiri sana,ushauri umri unaenda elimu so kigezo,hata kama umemzidi elimu kubali man's wengine hawana elimu lakini wako vizuri sana kiuchumi na katika mapana mengine
 
0656406233
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…