Serious man needed baadae awe mume

Pole yako, woawaji wa kweli hutowaona yaani utumike kwanza halafu sasa hivi ndio uweke masharti ya ku do ili uuze mbuzi kwenye gunia sidhani kama kwenye dunia ya sasa kuna mjiga wa kiasi hicho, ila watakuja unaowataka usisahau mrejesho mkuu
Wewe Nani mpaka umpangie Na Kitumbua chake
 
Well said mkuu[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Heshima yako mkuu.....
 
Zote ninazo ila ya kutokukujua kabla ya ndoa nitalishindwa vp je kama unaniuzia gunia tupu bila mbuzi ntamlilia Nani si ndo mambo ya kutoka nje kwenda kutafuta wenye mauwezo elimu yako wala sio lazima muhimu ni je mambo yako poa
Kwanza hata ungekuwa nazo zote huu Uzi haukuhusu , this is only for men not boys
 
Kwanza hata ungekuwa nazo zote huu Uzi haukuhusu , this is only for men not boys
So you're trying to say "all the married man are never tested until they got married?"

Tafuta mchumba ambae utaridhika nae sasa kwa mfano unapata mwanaume asiekufikisha kileleni utamllmikia Nani si ndo utaanza kutoka nje ya ndoa

Acha dharau binti do you know me?
 
I don't need any of your advice coz I know what am doing na wanaume wanaojielewa wanaelewa na wanakuja pm wasojielewa kama wewe ndo mnaleta complications kwenye Uzi ambao sio saizi yako yaani all u think is sex yaani wewe unahisi mahusiano au ndoa its all about sex , soma kwanza naona bado una akili za kitoto
 
N:B... Majanga
 
Hahahahaha sasa kwani me nimetaka kujua wanakuja au hawaji?
Hv Kuna Mwanamke ambae amewahi andika uzi wa aina hii akakosa watu Pm?


Mungu akusaidie upate mume maana najua utawaamini kama 5 na utakutana nao ila Kati ya Hao lazima ulambwe japo na mmoja before marriage na hakuna ndoa
 
Mkuu relax hupaswi kuniletea mm hasira za kukosa ajira ilaumu serikali yako , and anyway sio lazma ucomment waeza pita kimya kimya . okay??!!


narudia tena samahani!soma hiyo post uliyonijibu kwa makini harafu itathmini kisha utathmin ukweli wanilichoandika awali.
 
Shughuli unaiweza?
Sio mbwembwe nyingi alafu nijutie gharama ya harusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…