Serious man needed baadae awe mume

Lol.... weusi tumekukosea nin??? Ukizungumza suala la urefu bora uwe specific. 5", 6" au 7"
 
Umeanza kutumika ukiwa na miaka mingapi? Na umeishi na huyo x wako miaka mingapi? Hapo bado utakuwa na elasticity kweli?
Hayo maswali unaniuliza mimi unamuuliza dadako?? Sio lazima utoe comment afu maswali ya utumbo utumbo tu, mxiuuu
 
Mbona watu mmeshadadia sana no 8 au ndo wengi intentions zenu ziko hivo

wewe unataka watu uwaingize mkenge bidada nini? kwani huyu ex wako hakupewa mzigo nini ndio maana akaamua kumgegeda besty wako
 
wewe unataka watu uwaingize mkenge bidada nini? kwani huyu ex wako hakupewa mzigo nini ndio maana akaamua kumgegeda besty wako
Its non of ur business, pita HV wala hutopungukiwa chochote na mm sitafute mume kwa lazima natafuta taratibu na kwa kurelax so kama hii thread haikuhusu pita vile[emoji117] [emoji117] [emoji117] [emoji117]
 
Kama kweli unahitaji mume sema.hana elimu lkn ana kazi yake ya kumuingizia sent .yupo na anataka mke kweli.
 
Its non of ur business, pita HV wala hutopungukiwa chochote na mm sitafute mume kwa lazima natafuta taratibu na kwa kurelax so kama hii thread haikuhusu pita vile[emoji117] [emoji117] [emoji117] [emoji117]

kwa atitute hiyo i can see why jamaa aliamua kumgegeda besty wako. alifanya njema
 
bila shaka utakuwa muislamu jina usiyejua taratibu za dini yako ziko vp...

ulikotoka umetoka kwenye haramu na ulichitoa hapa kama tangazo nacho pia haramu, tafuta watu wenye utambuzi wa dini yako unaishi nao ktk jamii inayokuzunguka wakuelekeze nini cha kufanya na siyo kuhangaikahangaika huku mtandaoni, kwani huko ni kukiuka taratibu za iman yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…