Serious man needed baadae awe mume

Mm nahis walio wengi hiyo point mmeichukua vibaya kwa sababu most of u intentions zenu ni moja, kuna mtu anaingia kwenye Uzi kama huu huku moyoni anasema ana bad intention and dats why watu wengi wamereact kwenye hicho kigezo no 8 .. That's why I said, REAL MAN NEEDED, I mean a real one
 
Mimi simlaumu huyu binti nitamcheka huyo fala atakaye kubali kuisubiria hadi ndoa hiyo papuchi iliyotinduliwa hadi kupoteza muonekano wake wa asili

Hata dawa mtu unashauriwa u shake well before use
Povu linawatokaaaa, hapa janja janja hakuna maana mmezoeaa
 
Una miaka mingapi? Katika wanaume 300 mmoja ndo anasifa unazotaka na anapendwa na mwanamke aliyekuzidi sifa sasa utajapofukisha miaka 35..... utataka yoyote anayevaa suruali
 
Kila binadamu ana uhuru wa kutoa maamuzi yake na yaheshimiwe.

Na hata kama umeona binadamu mwenzio amekosea mrekebishe na hata kuombeana mema.
 
Mmmhhh....bibie una wiki tangu umejiunga JF . Unawaza nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…