Emmanuel nemes
JF-Expert Member
- Nov 20, 2016
- 892
- 654
[emoji23] [emoji23] wanawake kuolewa ni bahati ww unaleta vimasharti vyako, utazeekea nyumbani usipoangaliamm na vigezo vyote, kasoro dini tuu am Christian...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] wanawake kuolewa ni bahati ww unaleta vimasharti vyako, utazeekea nyumbani usipoangaliamm na vigezo vyote, kasoro dini tuu am Christian...
KwannDuh!!!...Nimekosa hiyo sifa namba nane!!....Dada hiyo sifa namba nane hiyo!![emoji30] [emoji30] ......Hakika itakukosesha mume![emoji17]
Ulikuepo???Tatizo huyo wa kwanza kala papuch weeeeeeeee,wa sasa unamnyima mpaka ndoa,ungeanza kumnyima wa kwanza ningekusoma
Mm nahis walio wengi hiyo point mmeichukua vibaya kwa sababu most of u intentions zenu ni moja, kuna mtu anaingia kwenye Uzi kama huu huku moyoni anasema ana bad intention and dats why watu wengi wamereact kwenye hicho kigezo no 8 .. That's why I said, REAL MAN NEEDED, I mean a real oneNiliwahi kukutana na mdada kama wewe, tukakubaliana bila kufanya ngono kwa mwaka na miezi kadhaa, ila baadae nikagundua ana mawasiliano machafu na vidume, yaani hata simu yake hakutaka niishike, baada ya kumkanya akanambia nisimtafute hadi atakaponitafuta (alinitafuta baadae nikamwambia nina mwingine) ikumbukwe kuwa tulikubaliana niende kwa wazazi wake miezi hiyohiyo aliyonikataa, ok nikapata mdada mwingine na maisha yanaendelea kwa neema ya Bwana.
Worry out utampata wa vigezo vyote, good luckNna vigezo na nipo setious bt Mm n RC, namcha mungu.
Km upo ready sawa
Povu linawatokaaaa, hapa janja janja hakuna maana mmezoeaaMimi simlaumu huyu binti nitamcheka huyo fala atakaye kubali kuisubiria hadi ndoa hiyo papuchi iliyotinduliwa hadi kupoteza muonekano wake wa asili
Hata dawa mtu unashauriwa u shake well before use
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Picha please
Mkuu kama uko akilini mwangu...Weka sura mama that's first impression for a man to a woman!
WalewaleMkuu kama uko akilini mwangu...
Picha kwanza
Unanunua vipi embe kama hujajua limeiva?Walewale
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilipofika kipengele cha 8, ikabidi niishie hapo maana nishafeli kabla ya kumaliza kusoma mada.
Ndio chakushangaza, chapo hawajajua malengo yakoMbona watu mmeshadadia sana no 8 au ndo wengi intentions zenu ziko hivo
Kila binadamu ana uhuru wa kutoa maamuzi yake na yaheshimiwe.ninaheshimu sana vigezo vyako lakini pia ninaheshimu zaidi vigezo vyangu.
Kigezo changu kimoja ni mtu awe member kwa zaidi ya mwaka mmoja.
Hivyo,
Nimeanza kukufuatilia (na kuomba dua ubaki single) mpaka mwakani...kama dua yangu itakuwa imesikizwa basi mwenyewe bila kulazimishwa wala kuona soni nitajisogeza PM kwako.
Kwa sasa endelea kuchangia majukwaa mengine tafadhali.
Mpendwa wa siku za mbeleni,
Mentor.
CC; RRONDO - naamini nimefanya chaguo lililo bora bro!
Hata Mimi nilitaka kukazia hapohapo ndo tatizo linapoanzia...
Mmmhhh....bibie una wiki tangu umejiunga JF . Unawaza nini?Habari zenu wote.. Ikiwa imetimia mwaka mmoja bila kuwa na mahusiano tangu niachane na mwanaume ambae nilimfumania na rafiki yangu na kupelekea kuachana nimeamua sasa kuingia rasmi kwenye relationship na mwanaume naemuhitaji kwanza;
1.Awe mchamungu
2.awe mpole kiasi
3.awe tayari kupima
4.awe na elimu ya juu kidogo kuliko maana mm Nina diploma
5. Mrefu kiasi mweupe kiasi au maji ya kunde asiwe mweusi sana
6. Awe anajielewa Mwenye future, vision na awe na Kazi inayomwingizia kipato
7. Miaka 28-35
8. Awe tayari kutofanya mapenzi mpaka tufunge ndoa au mpaka nitakapojiridhisha kwamba yeah he deserves to be my future hubby.
Mwisho wa yote awe na mapenzi ya dhati na ambae atajifanya analeta janjajanja asijisumbue Kabisa ..
Sifa zangu mom
1. Maji ya kunde
2. Elimu diploma
3. Nimeajiliwa
4. Dini muislam
Pm kwa maelezo zaidi