Serious man needed baadae awe mume

Serious man needed baadae awe mume

Niliwahi kukutana na mdada kama wewe, tukakubaliana bila kufanya ngono kwa mwaka na miezi kadhaa, ila baadae nikagundua ana mawasiliano machafu na vidume, yaani hata simu yake hakutaka niishike, baada ya kumkanya akanambia nisimtafute hadi atakaponitafuta (alinitafuta baadae nikamwambia nina mwingine) ikumbukwe kuwa tulikubaliana niende kwa wazazi wake miezi hiyohiyo aliyonikataa, ok nikapata mdada mwingine na maisha yanaendelea kwa neema ya Bwana.
Mm nahis walio wengi hiyo point mmeichukua vibaya kwa sababu most of u intentions zenu ni moja, kuna mtu anaingia kwenye Uzi kama huu huku moyoni anasema ana bad intention and dats why watu wengi wamereact kwenye hicho kigezo no 8 .. That's why I said, REAL MAN NEEDED, I mean a real one
 
Mimi simlaumu huyu binti nitamcheka huyo fala atakaye kubali kuisubiria hadi ndoa hiyo papuchi iliyotinduliwa hadi kupoteza muonekano wake wa asili

Hata dawa mtu unashauriwa u shake well before use
Povu linawatokaaaa, hapa janja janja hakuna maana mmezoeaa
 
Una miaka mingapi? Katika wanaume 300 mmoja ndo anasifa unazotaka na anapendwa na mwanamke aliyekuzidi sifa sasa utajapofukisha miaka 35..... utataka yoyote anayevaa suruali
 
ninaheshimu sana vigezo vyako lakini pia ninaheshimu zaidi vigezo vyangu.

Kigezo changu kimoja ni mtu awe member kwa zaidi ya mwaka mmoja.
Hivyo,
Nimeanza kukufuatilia (na kuomba dua ubaki single) mpaka mwakani...kama dua yangu itakuwa imesikizwa basi mwenyewe bila kulazimishwa wala kuona soni nitajisogeza PM kwako.

Kwa sasa endelea kuchangia majukwaa mengine tafadhali.

Mpendwa wa siku za mbeleni,
Mentor.


CC; RRONDO - naamini nimefanya chaguo lililo bora bro!
Kila binadamu ana uhuru wa kutoa maamuzi yake na yaheshimiwe.

Na hata kama umeona binadamu mwenzio amekosea mrekebishe na hata kuombeana mema.
 
Habari zenu wote.. Ikiwa imetimia mwaka mmoja bila kuwa na mahusiano tangu niachane na mwanaume ambae nilimfumania na rafiki yangu na kupelekea kuachana nimeamua sasa kuingia rasmi kwenye relationship na mwanaume naemuhitaji kwanza;
1.Awe mchamungu
2.awe mpole kiasi
3.awe tayari kupima
4.awe na elimu ya juu kidogo kuliko maana mm Nina diploma
5. Mrefu kiasi mweupe kiasi au maji ya kunde asiwe mweusi sana
6. Awe anajielewa Mwenye future, vision na awe na Kazi inayomwingizia kipato
7. Miaka 28-35
8. Awe tayari kutofanya mapenzi mpaka tufunge ndoa au mpaka nitakapojiridhisha kwamba yeah he deserves to be my future hubby.
Mwisho wa yote awe na mapenzi ya dhati na ambae atajifanya analeta janjajanja asijisumbue Kabisa ..
Sifa zangu mom
1. Maji ya kunde
2. Elimu diploma
3. Nimeajiliwa
4. Dini muislam

Pm kwa maelezo zaidi
Mmmhhh....bibie una wiki tangu umejiunga JF . Unawaza nini?
 
Back
Top Bottom