Serious man needed baadae awe mume

Serious man needed baadae awe mume

Habari zenu wote.. Ikiwa imetimia mwaka mmoja bila kuwa na mahusiano tangu niachane na mwanaume ambae nilimfumania na rafiki yangu na kupelekea kuachana nimeamua sasa kuingia rasmi kwenye relationship na mwanaume naemuhitaji kwanza;
1.Awe mchamungu
2.awe mpole kiasi
3.awe tayari kupima
4.awe na elimu ya juu kidogo kuliko maana mm Nina diploma
5. Mrefu kiasi mweupe kiasi au maji ya kunde asiwe mweusi sana
6. Awe anajielewa Mwenye future, vision na awe na Kazi inayomwingizia kipato
7. Miaka 28-35
8. Awe tayari kutofanya mapenzi mpaka tufunge ndoa au mpaka nitakapojiridhisha kwamba yeah he deserves to be my future hubby.
Mwisho wa yote awe na mapenzi ya dhati na ambae atajifanya analeta janjajanja asijisumbue Kabisa ..
Sifa zangu mom
1. Maji ya kunde
2. Elimu diploma
3. Nimeajiliwa
4. Dini muislam

Pm kwa maelezo zaidi

N:B Asiyekunywa pombe
Term number 8 hapo.....je akiuziwa mbuzi kwenye gunia
 
Papuchi is very important vinginevyo nenda church ukatoe tangazo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mtoa Mada saluti kwako, Hii No. 8 bhanaaa umetudhihirisha na kuonyesha uhalisia ya kuwa mapenzi yetu yameegemea kwenye papuchi kuliko maana halisi ya mapenzi.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Umesema mpaka ujirizishe kuwa anafaa kwa future ndo ufanye naye mapenz.... Je ikitokea kipind ww umeshajirisha na yeye kufanya mapenz yeye akawa bado utafanyaje
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mtoa Mada saluti kwako, Hii No. 8 bhanaaa umetudhihirisha na kuonyesha uhalisia ya kuwa mapenzi yetu yameegemea kwenye papuchi kuliko maana halisi ya mapenzi.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Yaani udhaifu wenu mmeudhihirisha na huu mtego umekamata sana
 
Back
Top Bottom