fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Yapo mambo muhimu ya kuwauliza watu wote ambao wana mawazo kuwa nchii hii haina waandishi wa habari wente ujuzi,wa kufanya kazi za uandishi wa habari wa uchunguzi:
1.je hawa waandishi wa habari wana vyombo vya habari huru vinavyoweza kutoa hizo habari?
2.je waandishi hawa wa habari,wana msaada wowote ule,iwapo watadhurika kutokana na habari hizo watakazozitoa?
3.je hivi hawa waandishi wa habari huwa wanalipwa mishahara au malipo mengine,kwa wakati au kwa kiwango kinachofaa ili kuwapa motisha?
4.hivi nani humu kwa mazingira ya kazi kwa hawa waandishi wa habari,yeye angethubutu kufanya hiyo ij mnayoitaka?