fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Mkuu Fimbo ya Asali, umeuliza maswali ya msingi sana. Waandishi wa IJ wa media za wenzetu wana bima, sijui kama kuna mwandishi yoyote wa habari wa Tanzania mwenye bima!.Yapo mambo muhimu ya kuwauliza watu wote ambao wana mawazo kuwa nchii hii haina waandishi wa habari wente ujuzi,wa kufanya kazi za uandishi wa habari wa uchunguzi:
1.je hawa waandishi wa habari wana vyombo vya habari huru vinavyoweza kutoa hizo habari?
2.je waandishi hawa wa habari,wana msaada wowote ule,iwapo watadhurika kutokana na habari hizo watakazozitoa?
3.je hivi hawa waandishi wa habari huwa wanalipwa mishahara au malipo mengine,kwa wakati au kwa kiwango kinachofaa ili kuwapa motisha?
4.hivi nani humu kwa mazingira ya kazi kwa hawa waandishi wa habari,yeye angethubutu kufanya hiyo ij mnayoitaka?
Hapo umeongea point sio ule unafiki ambao huwa unaufanya kuuma na kupulizaKiukweli media za Tanzania tumelala, hawa wasiojulikana wamesumbua sana serikali yetu kuwabaini tumeshindwa, media za Tanzania na umasikini wetu uliotopea, tumeshindwa!, haya sasa mtu wa mbali tunayembeza kuwa ni beberu, kawabaini, na kaanza kuleta majina.
Kama matukio haya yalikuwa yanatekelezwa as a stand alone na serikali haihusiki, kwanini serikali yetu imemzuia wachunguzi wa nje?.
Haya sasa Mmarekani amewapatia hadi jina!. Kama serikali haihusiki, then tunaitegemea serikali yetu makini, itawashukuru Wamarekani kwa info tip hiyo, wataomba ushirikiano wa disclosure and sharing sensitive security info, then serikali yetu will do the needful or the necessity.
Lakini kama hata baada ya msaada huu wa watu wa Marekani kuhusu hawa wasiojulikana, kutolewa bure, na bado serikali yetu ikiendelea na dilly dallying, then waelewa tutaelewa aliyenyuma ya wasiojulikana ni nani, na anayewatuma pia, hivyo...
P
Azory Gwanda aliyekuwa anafuatilia mauaji ya MKIRU yupo wapi?Kiukweli media za Tanzania tumelala, hawa wasiojulikana wamesumbua sana serikali yetu kuwabaini tumeshindwa, media za Tanzania na umasikini wetu uliotopea, tumeshindwa!, haya sasa mtu wa mbali tunayembeza kuwa ni beberu, kawabaini, na kaanza kuleta majina.
Kama matukio haya yalikuwa yanatekelezwa as a stand alone na serikali haihusiki, kwanini serikali yetu imemzuia wachunguzi wa nje?.
Haya sasa Mmarekani amewapatia hadi jina!. Kama serikali haihusiki, then tunaitegemea serikali yetu makini, itawashukuru Wamarekani kwa info tip hiyo, wataomba ushirikiano wa disclosure and sharing sensitive security info, then serikali yetu will do the needful or the necessity.
Lakini kama hata baada ya msaada huu wa watu wa Marekani kuhusu hawa wasiojulikana, kutolewa bure, na bado serikali yetu ikiendelea na dilly dallying, then waelewa tutaelewa aliyenyuma ya wasiojulikana ni nani, na anayewatuma pia, hivyo...
P
Hili ni vizuri kuachia hapa kwasababu whoever who was behind shooting ya Tundu Lissu ni shetani kabisa, the devil in human flesh, mimi siamini tunaye shetani wa aina hii, ila kwa vile sio kila kinachofanywa na serikali lazima kiripotiwe kwenye media hivyo mimi ninaamini 100% chini ya 100% serikali imechunguza, zile CCTV ni nyumba ya Kalemani ila sio CCTV za serikali, naamini hadi Mzee atakuwa ameulizia, na uchunguzi umekwama kutokana na kukosekana mashahidi wawili wakuu ambao ni muhimu sana. Endapo kugetokea fatality kazi ingekuwa well done, by now file lingeisha fungwa, lakini kwasababu mashahidi wapo, wanasubiriwa wahojiwe ndipo uchunguzi uendelee.Narration yako makes a big sense! BUT look: Mr, Pascal, usizidi kunipa mashaka! Mauaji, upoteaji, uteswaji, kesi za 'kipuuzi" wanazokutana nazo watu... Rais fulani hajawahi kuzikemea. Yoooooooooooooooooooooooooooooooooote yaliyotokea kwa Lisu sanasana alichojibu ni kuwa yule jamaa amelitelekeza jimbo! Wadau woooooooooooooooooooooote walisema ruhusu uchunguzi huru toka nje watampata aliyempiga risasi Lisu.. he never commented anything! Watu wamekutuhumu, kujibu tuhuma unafanyaje? Unasema Njoo mchunguze then ukweli utapatikana.
Pascal nambie yaliyotokea kwa Lisu kama angalikuwa hana mkono wake asingeruhusu kuona watu wanapoteza CCTV, wanaondoa walinzi, angelisema nataka kujua leo leo nani aliwaondoa walinzi! He never did that..... Maswali ni mengi yanayomwelemea.. irresisitible inference kuwa anahusika...
Ngoja niachie hapa......
Bado kuna umaskini ktk maelezo yako.Azory Gwanda aliyekuwa anafuatilia mauaji ya MKIRU yupo wapi?
Kuna media gani Tanzania ya sasa inaweza kuchapisha habari ya kiuchunguzi?
Acha unafiki mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanabodi,
Kwanini media haikwenda Dodoma Hospital kupata taarifa ya kidakitari Lissu alivyojeruhiwa?
Kwanini media haikumhoji shahidi mkuu dereva wa Lissu pale Dodoma ili kupata kilichotokea na tukio zima lilivyokuwa?
Kwanini mpaka sasa hakuna media iliyotuma mtu Nairobi kupata maendeleo ya Lissu na kumhoji dereva wa Lissu?
Kama kuliwahi kutokea mashambulizi na mauaji ya aina, media imeshindwaje to connect the dots.
Hitimisho:
Kwenye hili tukio la kushambuliwa kwa Tundu Lissu, Tanzania tumeonyesha hatuna kabisa serious media kufanya IJ, hivyo media haijatimiza wajibu wake.
Paskali
Naunga mkono hoja!.Nadhani Bado Media personalities wetu Ni Tatzo Sana. Na nilichogundua Shule inaweza kuwa Sio tatizo kabisa maana wengi saivi wamepata requisite qualifications,Sijui ni exposure.
Mkuu Mbogi, kila siku humu if, wanaingia madogo wapya, hivyo hawawezi kujua nani aliwahi kusema nini kuhusu wasiojulikana TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!Pascal
Unasema kwamba anatoa tuhuma kwa vyombo nyeti vya usalama,
Je kwako ni mara ya kwanza kusikia tuhuma kama hizi achilia mbali kutoka kwa Lissu?
Au unataka kujifanya haukusikia malalamiko tena makali kutoka ndani ya mhimili mkubwa wa dola (bunge) juu ya utesaji na mauaji yanayo fanywa na hao tiss ? Rejea kauli za wabunge Bashe, Nape, nk ndani ya bunge, Je uliwahi kuwaonya hao wabunge?
Kama wao (vyombo nyeti vya usalama) wamekuwa wakisikia tuhuma hizi kutoka kwa Wananchi mbona hawajawahi kuzitolea ufafanuzi wa maana ili jamii iachane na lawama dhidi yao?
Kwenye hili la wasiojulikana, nimejitolea hata kufanya uchunguziNa ufafanuzi pekee wa kuondoa lawama hizi ni fanya uchunguzi wa kile kinacholalamikiwa ikiwa ni pamoja na mauaji/ majaribio ya mauaji ya watu yaliyotokea.
Wewe Pascal, lisaidie taifa letu kwa kusema ukweli.
Ok kama ulifanya hivi na Bado Hadi sasa serikali hawakuchukua hatua kwa nini unamtaka Lissu anyamaze kimya badala ya wewe kuendelea kumsaidia ili mwisho wa siku serikali ifanye huo uchunguzi?Mkuu Mbogi, kila siku humu if, wanaingia madogo wapya, hivyo hawawezi kujua nani aliwahi kusema nini kuhusu wasiojulikana TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!
Kwenye hili la wasiojulikana, nimejitolea hata kufanya uchunguzi
Shambulio la Lissu: Wajue wasiojulikana watakaojulikana na 'Wasiojulikana' ambao kamwe, hawatajulikana
Wanabodi, Tangu kutokea kwa shambulizi kwa Mhe.Tundu Lissu, ambalo mpaka sasa linaelezwa kufanywa na watu wasiojulikana, kumeibuka shauku kubwa ya watu kutaka kuwabaini hawa watu wanaoitwa ni watu wasiojulikana, ni kina nani?, wanatumwa na nani? na lengo lao ni nini?, kunakopelekea kujengwa kwa...www.jamiiforums.com
Taifa linahangaika na wasiojulikana waliomshambulia Tundu Lissu! Je, ni hawa?! Mhe. Mwigulu, IGP, anzieni hapa!
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali tuu kuhusu watu watu, kwa kulisaidia jeshi letu la polisi na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kuitumia mitandao ya kijamii positively as source of a security tip ya vital information kuhusu uchunguzi mbalimbali. Usisubiri hadi mtu akaripoti polisi kuhusu...www.jamiiforums.com
WanaJF, je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi?
Wanabodi Hili ni bandiko la kuhamasisha uzalendo miongoni mwetu sisi wana JF, pale inapotokea serikali yetu imeshindwa jambo fulani, kwa wale wenzetu wenye uwezo, jee tuwajibike kuisaidia serikali yetu au kusubiri mpaka ishindwe, halafu kazi yatu iwe ni kuikosoa tuu, kuibeza na kuizomea kuwa...www.jamiiforums.com
Serious Media inaweza kuwabaini "wasiojulikana" Deo Masakilija
Wanabodi, Naangalia kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari kinachorushwa na Star TV, ambapo mwandishi Mkongwe, Deo Masakilija, amealikwa. Dotto Bulendu ameanza kwa hoja 'Je media imetimiza wajibu wake ipasavyo katika kuwabaini hawa watu wasiojulikana wanaohusika na matukio ya utekaji, utesaji...www.jamiiforums.com
Mabandiko hayo ni uthibitisho wangu kulisaidia taifa kwenye hii issue ya wasiojulikana.
P
Mda ukifika watajulikana tuuu
Baada ya sisi media, kushindwa kutimiza wajibu wetu wa kuwabaini wasiojulikana, hatimaye, baadhi ya wasiojulikana, wameanza kutajana.media inaweza kuwabaini hawa watu wasiojulikana kwa media kuwatumia waandishi mahiri wa IJ, (Investigative Journalism), hatua ya kwanza ni kwa media ku invest kwenye kutafuta ukweli kwanza kwa kujenga uwezo wa IJ skills kwa waandishi wake(capacity building), kisha hiyo media kuwawezesha waandishi wake kufanya IJ.
Kwenye tukio la kushambuliwa kwa Tundu Lissu, kwanini media haikwenda kwenye eneo la tukio kupata independent witnesses report ya mashuhuda?.
Kwanini media haikwenda Dodoma Hospital kupata taarifa ya kidakitari Lissu alivyojeruhiwa?
Kwanini media haikumhoji shahidi mkuu dereva wa Lissu pale Dodoma ili kupata kilichotokea na tukio zima lilivyokuwa?
Kwanini mpaka sasa hakuna media iliyotuma mtu Nairobi kupata maendeleo ya Lissu na kumhoji dereva wa Lissu?
Kama kuliwahi kutokea mashambulizi na mauaji ya aina, media imeshindwaje to connect the dots.
Hitimisho:
Kwenye hili tukio la kushambuliwa kwa Tundu Lissu, Tanzania tumeonyesha hatuna kabisa serious media kufanya IJ, hivyo media haijatimiza wajibu wake.
Paskali
MEI 3 ya kila mwaka ni Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa vyombo vya habari, Mimi Pascal Mayalla, kwa niaba yangu kama mwanahabari ambaye ni mwandishi wa habari huru na wa kujitegemea kwa kujitolea na kwa niaba ya kampuni yangu ya PPR as chombo huru cha habari, niwatakie wanahabari wenzangu wote, maadhimisho mema ya siku hii, huku nikidurusu, niliwahi kusema nini kuhusu uhuru wa habari kwa media zetu za Tanzania yetu.Wanabodi,
Naangalia kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari kinachorushwa na Star TV, ambapo mwandishi Mkongwe, Deo Masakilija, amealikwa.
Dotto Bulendu ameanza kwa hoja 'Je media imetimiza wajibu wake ipasavyo katika kuwabaini hawa watu wasiojulikana wanaohusika na matukio ya utekaji, utesaji, uvamizi, mashambulizi ya silaha na mauaji ya Kibiti ambapo vitendo vyote hivyo, vimefanywa na watu wasiojulikana, media imeshindwa nini kuisaidia jamii kuwabaini hawa wasiojulikana?'.
Deo Masakilija anasema media inaweza kuwabaini hawa watu wasiojulikana kwa media kuwatumia waandishi mahiri wa IJ, (Investigative Journalism), hatua ya kwanza ni kwa media ku invest kwenye kutafuta ukweli kwanza kwa kujenga uwezo wa IJ skills kwa waandishi wake(capacity building), kisha hiyo media kuwawezesha waandishi wake kufanya IJ.
Masakilija anasema kama mauaji ya Kibiti, serious media ingetuma IJ Kibiti na kupiga kambi Kibiti na kufanya urafiki na watu in friendly manner, lazima wananchi wangejitolea kutoa ushirikiano.
Bulendu akauliza kwenye tukio la kushambuliwa kwa Tundu Lissu, kwanini media haikwenda kwenye eneo la tukio kupata independent witnesses report ya mashuhuda?.
Kwanini media haikwenda Dodoma Hospital kupata taarifa ya kidakitari Lissu alivyojeruhiwa?
Kwanini media haikumhoji shahidi mkuu dereva wa Lissu pale Dodoma ili kupata kilichotokea na tukio zima lilivyokuwa?
Kwanini mpaka sasa hakuna media iliyotuma mtu Nairobi kupata maendeleo ya Lissu na kumhoji dereva wa Lissu?
Kama kuliwahi kutokea mashambulizi na mauaji ya aina, media imeshindwaje to connect the dots.
Hitimisho:
Kwenye hili tukio la kushambuliwa kwa Tundu Lissu, Tanzania tumeonyesha hatuna kabisa serious media kufanya IJ, hivyo media haijatimiza wajibu wake.
Paskali
Rejea
Waandishi wa habari wa Tanzania, wamekuwa waoga kupitiliza kisa kuambiwa UCHOCHEZI
Werema: Hatuna waandishi wa habari za uchunguzi Tanzania bali wahemea kodi za pango
Stan Katabalo: Tunauhitaji mzimu wako wa habari za Uchunguzi!
Nasikitika media hatutimizi wajibu wetu kikamilifu kwenye matukio kama haya ya hawa wasiojulikana.Wanabodi,
Bulendu akauliza kwenye tukio la kushambuliwa kwa Tundu Lissu, kwanini media haikwenda kwenye eneo la tukio kupata independent witnesses report ya mashuhuda?.
Kwanini media haikwenda Dodoma Hospital kupata taarifa ya kidakitari Lissu alivyojeruhiwa?
Kwanini media haikumhoji shahidi mkuu dereva wa Lissu pale Dodoma ili kupata kilichotokea na tukio zima lilivyokuwa?
Kwanini mpaka sasa hakuna media iliyotuma mtu Nairobi kupata maendeleo ya Lissu na kumhoji dereva wa Lissu?
Kama kuliwahi kutokea mashambulizi na mauaji ya aina, media imeshindwaje to connect the dots.
Hitimisho:
Kwenye hili tukio la kushambuliwa kwa Tundu Lissu, Tanzania tumeonyesha hatuna kabisa serious media kufanya IJ, hivyo media haijatimiza wajibu wake.
Paskali
Huyo unayemuabudu hapo juu ndiyo muasisi wa utekaji na kuua wakosoajiK
#@RipMagufuliRipMzeeKibao.
Nasikitika kutangaza kifo cha Deo Masakilija kilichotokea jana jijini Mwanza. Masakilija alikuwa mmiliki wa gazeti la Watu. Mazishi yatafanyika baada ya mkewe na watoto wake kuwasili nchini.Wanabodi,