Serious: Natafuta mke mmoja tu

Serious: Natafuta mke mmoja tu

Toka,,siji tena,,ushanikataa kwa nguvu vile, endelea na watoto wenzio
Hawa majanja wana UTI nimeambiwa, Natengua kauli yangu njoo wewe ndo msafi bana.
 
Habarini Mabinti na wale wenye dada zao.

Nafasi ni moja tu, anatafutwa binti mzuri wa muonekano na tabia yaani Mtu mwenye Utu na Utulivu.

Umri: 18-23 (Asiye mshangazi bila Kitambi)
Elimu: Si muhimu.
Dini: Si muhimu.
Kabila: Si muhimu.
Kazi: Si muhimu ila asiwe mvivu mvivu.
Bikra: Si lazima ila watapewa kipaumbele.

Kuhusu mimi tutafahamiana PM.

Karibuni sana 🙏

NISAIDIE KUSHARE TUPATE WIFE MATERIAL.
Sifa zote unazo,jioe mwenyewe
 
Back
Top Bottom