Serious: Natafuta mwenza(mume)


Nina vigezo lkn rangi ndo nimekasoro hapo, mi ni mweupe kiasi, sasa sijui kama utabadili maamuzi ya rangi?
 
Sasa kwanini usijue lugha yako?Sio sifa kwa mtu kutojua kwao na hata lugha yake kama wewe unavyodhani.Kumbuka wayahudi waliondoka kwao mwaka 70,pamoja na kukaa miaka zaidi ya elf 1000 nje lakini lugha yao na tamaduni zao wanazifahamu.Ni pm mimi ni miaka 38,sina ukimwi,urefu 5.7ft,black,62 kg,christian.
 
Ungekuwa unafahamu lugha na utamaduni wako ningekutaka hata kwa dawa lakini sifa hiyo huna basi imekuwa bahati mbaya kwako dada.
 
mmmmmh kila la heri mpendwa ndoa popote pale hata mkikutana jamii forum
 
ok vote nibavyo nalimu umri na nimeajiriwa unapatikana pande zip ina napenda mtu mwenye changamoto ya maisha mambo ya kujirusha no maisha kwanza
 
Atakaepata huyu masai kapata mke! nina vigezo vyote but ctk ckia kitu mke, ni heri uishi mpweke like jesus christ uwe safe
 
Kama kweli upo naukweli. Wakile ulicho kiandika. Nimekutumi barua pepe, fungua usome nilicho kuandikia.
 
unaish wap for now na inakuwaje unatafuta mume mtandaon,je huko uliko hawana vgezo au wewe ndo unakasoro pia?acha niwaachie wenzangu wawezao na ctaki kuamin msemo wa 'kizuri chajiuza ,kibaya chajitangaza'.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…