- Thread starter
- #41
Hata aliyeoa? me nakidhi ila nina mke mmoja na naendelea kuoa.
Aliyeoa hapana kakaangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata aliyeoa? me nakidhi ila nina mke mmoja na naendelea kuoa.
heri zote
Ameen.......Mungu akusaidie sana.
Uke wenza vipi??
Funguka basi,unatafuta bwana kama unalazimishwa binti??
NA IMANI YAKO VP,Maana sisi wengine Bomani hatuna time nako...
NIPO TAYARI!!
:A S-key:
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 28 na miezi kadhaa kabila langu ni mmasai japokuwa hata umasaini sikujui wala lugha ya kimasai lakini ni mmasai. rangi yangu ni maji ya kunde umbile wastani urefu wastani pia kwa maana ya sio mrefu wala mfupi. Nina elimu ya college na nimuajiriwa kwenye private company moja hivi. Natafuta Mume awe mwembamba au wakati maji ya kunde au mweusi kabisa, awe na alimu kidato cha nne na kuendelea awe mwenyekujishughulisha awe na umri wakuanzia miaka 29 - 35 alie serious anipm email yangu ni. rusizebloni12@gmail.com