HorsePower
JF-Expert Member
- Aug 22, 2008
- 3,612
- 2,567
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chalii niaje wewe ??? we si una wife chalii unaomba omba picha za watu chaliii?? UMEKUJA KUAJE WEWE???Ni2mie picture yako kwenye email yangu emamuelakyoo@gmail.com then 2pange mipango
Huyu anataka kujua members wa humu, mi simo, STAK DEM
Kweli hii ehh!!!!
Mpaka Wamasai! Duh, this is really .com!
kwani wao c binadam we vipi bwana
Huyu anataka kujua members wa humu, mi simo, STAK DEM
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 28 na miezi kadhaa kabila langu ni mmasai japokuwa hata umasaini sikujui wala lugha ya kimasai lakini ni mmasai. rangi yangu ni maji ya kunde umbile wastani urefu wastani pia kwa maana ya sio mrefu wala mfupi. Nina elimu ya college na nimuajiriwa kwenye private company moja hivi. Natafuta Mume awe mwembamba au wakati maji ya kunde au mweusi kabisa, awe na alimu kidato cha nne na kuendelea awe mwenyekujishughulisha awe na umri wakuanzia miaka 29 - 35 alie serious anipm email yangu ni. rusizebloni12@gmail.com
ar u sirias? mbona email hyo haipo?Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 28 na miezi kadhaa kabila langu ni mmasai japokuwa hata umasaini sikujui wala lugha ya kimasai lakini ni mmasai. rangi yangu ni maji ya kunde umbile wastani urefu wastani pia kwa maana ya sio mrefu wala mfupi. Nina elimu ya college na nimuajiriwa kwenye private company moja hivi. Natafuta Mume awe mwembamba au wakati maji ya kunde au mweusi kabisa, awe na alimu kidato cha nne na kuendelea awe mwenyekujishughulisha awe na umri wakuanzia miaka 29 - 35 alie serious anipm email yangu ni. rusizebloni12@gmail.com