Serious: Natafuta mwenza(mume)

Serious: Natafuta mwenza(mume)

Huyu anataka kujua members wa humu, mi simo, STAK DEM
 
Kweli hii ehh!!!!

Take care bro; najua e-mail yangu anayo my wife, iko kwa watu wengi tunaoshirikiana kwenye mambo ya kazi na mengineyo, itokee mmoja wa hao ndo kanitega nitegeke kiulaini kweli?
 
ktk wote tuliotuma barua pepe nina hakika 100% nachukua mzigo;jst wait n see! I Love u Rusi!
 
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 28 na miezi kadhaa kabila langu ni mmasai japokuwa hata umasaini sikujui wala lugha ya kimasai lakini ni mmasai. rangi yangu ni maji ya kunde umbile wastani urefu wastani pia kwa maana ya sio mrefu wala mfupi. Nina elimu ya college na nimuajiriwa kwenye private company moja hivi. Natafuta Mume awe mwembamba au wakati maji ya kunde au mweusi kabisa, awe na alimu kidato cha nne na kuendelea awe mwenyekujishughulisha awe na umri wakuanzia miaka 29 - 35 alie serious anipm email yangu ni. rusizebloni12@gmail.com

upo kwenye sensa ya wanaJF kujua wangapi na wakoje? kazana
 
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 28 na miezi kadhaa kabila langu ni mmasai japokuwa hata umasaini sikujui wala lugha ya kimasai lakini ni mmasai. rangi yangu ni maji ya kunde umbile wastani urefu wastani pia kwa maana ya sio mrefu wala mfupi. Nina elimu ya college na nimuajiriwa kwenye private company moja hivi. Natafuta Mume awe mwembamba au wakati maji ya kunde au mweusi kabisa, awe na alimu kidato cha nne na kuendelea awe mwenyekujishughulisha awe na umri wakuanzia miaka 29 - 35 alie serious anipm email yangu ni. rusizebloni12@gmail.com
ar u sirias? mbona email hyo haipo?
 
Mnashndwa kuelewa softiwea zinavowek,wakat mnagsagl uliklik info hidden,e-mail zenu hazionekan.
Ruc ntafte kama uko criuc,karibu cfa zote nnazo,mi mkurya na nahc 2nashabhiana,tumia no. 0757966585.
Ntakupa detailz zangu ila uwe tayari kuishi tarime.
 
Back
Top Bottom