Good morning dear!Nasubiria ushauri mwenzio!ha ha ha ha....ngoja nilifikirie ntakushauri asubuhi.....stay well Lizzy dear.
Good morning dear!Nasubiria ushauri mwenzio!
Kheee Kheee Kheeee Guardian Angle :laugh::laugh::laugh::laugh::laugh:Habari yalo binafsi na ya wifi, shem??? ulikosekana jana....naomba uheshimu maamuzi ya Hashy,hakulazimishwa...aliamua kwa akili yake.....
Ni hayo tu,siku njema.....
Mbona unakimbia sana siku hiziGood morning dear!Nasubiria ushauri mwenzio!
Khee Kheee Kheee mzee unataka kutumia disadvantage kuwa advantage kwakoMtoto unajua kuumwaga moyo wako hadharani weye.........Aisee kwa style hii itabidi niachane na profession yangu rasmi kuanzia dk hii. Mtoto una mashamsham halafu watu kama kina Hashy wanakuliza namna hii. Wallah Hashy nakunyang'anya tonge kutoka kwa mdomo right now. Hebu twende PM waridi wangu, barafu ujuaye mume ataka kitu gani aaaah nilham weeeeee unausukasuka mtima wangu kwa maneno yako.
Bado nakushauri V my dear.....i have faith in him.....goodmorning.....
Kheee Kheee Kheeee Guardian Angle :laugh::laugh::laugh::laugh::laugh:
dah Michelle:laugh:
Thank you,i hope you are doing well.....
Haya nasimama imara my sis, naendelea vizuri thou you can understand niliongea nae jana salamu zenu nyingi kutoka kwake especially you and hashyNakuomba sana usiniudhi tena.....simama imara na mheshimu kaka yako.....hujaniambia unaendeleaje??? siku hizi hatukuoni,isije ikawa umeanza........:twitch::twitch:
verry well what about you??
Haya nasimama imara my sis, naendelea vizuri thou you can understand niliongea nae jana salamu zenu nyingi kutoka kwake especially you and hashy
mmmhhhh haya guardian angel wa Hashy huyo,am missing her jamani......msalimu sana.....tunampenda......
Am fine my dear,sina amani tu.....
....watu kwa kuchakachua thread za wenzenu......?
amani ya nini tena habibty??
Ana bahati imeanza kuchakachuliwa page ya 7....watu kwa kuchakachua thread za wenzenu......?
What's up dudemissing her even more...