The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Si huyu aliyeanzisha hii threadjamaa yupi huyo tena??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si huyu aliyeanzisha hii threadjamaa yupi huyo tena??
Si huyu aliyeanzisha hii thread
:laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh:heee nimesahau ngoja niirudie kuisoma hii thread hivi wajua kama mpaka wakati huu tread mi bado sijaisoma??? maana nilivyoona mchangiaji wa mwisho alikuwa ni hashycool ndio nikaona hebu niifungue hii thread ndio nikakutana na mengine sasa ya kuisoma thread yakawa yamekaa pembeni lakini sasa ngoja nisome nitoe ushauri na mie...lol...
well i can see dat...
how did you find ma diamond ring?
they worth her every bit....
Eheeeee Shikamoo unataka kuninyima nini??? l.o.l
Dah!! Ile kitu mbona balaa carat ngapi aiseewell i can see dat...
how did you find ma diamond ring?
they worth her every bit....
Naitamani mpaka basiShem kaka yako kakuuliza ulionaje ile diamond ring?naona unachelewa kujibu......
em toa maksi basi......:laugh::laugh:
Dah!! Ile kitu mbona balaa carat ngapi aisee
Naitamani mpaka basi
There is a say that "there is so many women but few wives"SO i need one from these few jamani!
My introduction-Naitwa john miaka 25,nipo mwaka wa tatu chuo cha mlimani UDSM,kabila langu ni mhee a.k.a kitukuu cha Mkwawa,urefu wangu ni 5.8",si mweupe,si mweusi sitajiri si masikini,
sifa za yule nimtakae-Awe tayari kujuana kitabia kabla ya kuingia kwenye rasmi kwenye mapenzi,awe mvumilivu,mwenye akili ya kujitegemea,awe na mtizamo wa mbele,asiwe wa kutoka kaskazini(samahani)!awe na umri kati ya miaka 20-23,awe natura,Elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea,awe mkarimu,sura sio ishu,nikimpata aliyekwisha wahi kuumizwa moyo ana nafasi kubwa sana maana nahisi atatulia.
Mawasiliano:Ningependa anitumie email kwanza ndipo nitamtumia namba ya simu kwani siwezi kuidisplay hapa.E-mail yangu ni feyz18@yahoo.com
NOT JOKE......PLIZ BE SERIOUS
Duuuh
Na kwa uchunguzi wangu JF imejaa mabinti wa kaskazin
sasa sijui itakuwaje ?!
Ana bahati imeanza kuchakachuliwa page ya 7
Hehehe!Ningekua na chakukunyima hata nisingekusalimia!Full mapoz!Eheeeee Shikamoo unataka kuninyima nini??? l.o.l
hii lugha inahitaji mtu uifanyie mazoezi la sivyo unaweza kujiuma ulimi , inafanana na lugha za kina Madiba- Xhosaksokso,kwyi
You know bro...this young boy XOXOQY yupo serious anatafuta jiko, but wadau baadala ya kumpigia cross, wamegeuza hii ni venue ya either kujipigia mapande au kupalilia relationships zao.....not good!
Get back to the topic: XOXOQY ANATAFUTA MKE WA KUMWOA.......!
There is a say that "there is so many women but few wives"SO i need one from these few jamani!
My introduction-Naitwa john miaka 25,nipo mwaka wa tatu chuo cha mlimani UDSM,kabila langu ni mhee a.k.a kitukuu cha Mkwawa,urefu wangu ni 5.8",si mweupe,si mweusi sitajiri si masikini,
sifa za yule nimtakae-Awe tayari kujuana kitabia kabla ya kuingia kwenye rasmi kwenye mapenzi,awe mvumilivu,mwenye akili ya kujitegemea,awe na mtizamo wa mbele,asiwe wa kutoka kaskazini(samahani)!awe na umri kati ya miaka 20-23,awe natura,Elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea,awe mkarimu,sura sio ishu,nikimpata aliyekwisha wahi kuumizwa moyo ana nafasi kubwa sana maana nahisi atatulia.
Mawasiliano:Ningependa anitumie email kwanza ndipo nitamtumia namba ya simu kwani siwezi kuidisplay hapa.E-mail yangu ni feyz18@yahoo.com
NOT JOKE......PLIZ BE SERIOUS
You know bro...this young boy XOXOQY yupo serious anatafuta jiko, but wadau baadala ya kumpigia cross, wamegeuza hii ni venue ya either kujipigia mapande au kupalilia relationships zao.....not good!
Get back to the topic: XOXOQY ANATAFUTA MKE WA KUMWOA.......!
Unataka kunipa nini vile mtoto mzuri????Hehehe!Ningekua na chakukunyima hata nisingekusalimia!Full mapoz!
Kutamani kuna raha yake kabla ya kupata kitu chenyeweTafuta hela shem,acha kutamani tu.....:coffee:
Unataka kunipa nini vile mtoto mzuri????