Michelle
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,628
- 3,535
Kutamani kuna raha yake kabla ya kupata kitu chenyewe
Nimekusoma.....hujamuelewa Taluma au? kasema achani tabia ya kuchakachua thread za watu.....:sad:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutamani kuna raha yake kabla ya kupata kitu chenyewe
Tusingechakachukua hata page ya pili isingefika:laugh::laugh::laugh:Nimekusoma.....hujamuelewa Taluma au? kasema achani tabia ya kuchakachua thread za watu.....:sad:
Behave.....am around.....:laugh::laugh:
Nna cha kukupa basi!Labda nikupikie kiburu!Unataka kunipa nini vile mtoto mzuri????
And am around too! Watch your steps before I loose my temper!
Unaninyima uhuru wangu Babu,sina raha!! kila niendako uko nyuma yangu...ahhhh
And am around too! Watch your steps before I loose my temper!
Nna cha kukupa basi!Labda nikupikie kiburu!
Kheee Kheee hii posti imeandikwa kwa wivu wa hali ya juutatizo unacheza na vidigidigi wakati babuyo nataka kuendesha lendikruza jeupe...
Sawa Taluma,vipi wewe ulifanikiwa?uliona ile thread ya kuwepo dating site?? mtu mwenye nia na XOXOQY atam-PM....hatuwezi acha thread iishie message 10.....na kama unavyoona hapa,tumempa mtiririko wa maisha ya mahusiano hadi ndoa.....yeye ajifunze toka kwetu....tunajua tunalofanya...ingekuwa tunapiga siasa ungesema but unaona hapa ni mahusiano.....ila tumekusikia.....tunaondoka zetu.....:laugh::laugh:
Nipe mwenzio unacho cha kunipa acha uchoyo sio vizuri kunyimana
tatizo unacheza na vidigidigi wakati babuyo nataka kuendesha lendikruza jeupe...
Asante kwa kunielewa........! Mimi nilifakiwa tupo second phase....''intelijensia'' kama unanisoma......!
Haya chukua mkono wangu basi!Nipe mwenzio unacho cha kunipa acha uchoyo sio vizuri kunyimana
:laugh::laugh::laugh:Shsssss!!! Usinisemee basi, halafu mwenye thread sijui kaenda wapi naona yuko hapo chini anachungulia tusasa mshaichakachua mpaka 17 mwataka iwe blockked tena ifungwe kabisa we finest usifanye hivyo???haaa kumbe ndio ulivyo hivi??
Nothing special young man..... hebu msome hapa chini.whats up old man!
Ninalitambua hilo Babu,ila huyu mtu moyo umegoma kabisa kuondoka.....nimeshindwa kumuacha na sitaki umuite digidigi babu.....nalia..:A S 20:
Khaaaaa!!!!!!!!Haya chukua mkono wangu basi!
Nothing special young man..... hebu msome hapa chini.
:laugh::laugh::laugh:Shsssss!!! Usinisemee basi, halafu mwenye thread sijui kaenda wapi naona yuko hapo chini anachungulia tu
Hutaki sasa?Khaaaaa!!!!!!!!