KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,794
- 9,075
Sasa hapo sina msaada mwingine!ila nimekwambia tumia lenzi mbinuko!!!madame b mwenyewe sijui yuko wapi, si aje aniambie!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hapo sina msaada mwingine!ila nimekwambia tumia lenzi mbinuko!!!madame b mwenyewe sijui yuko wapi, si aje aniambie!
jamani ambaye anajua mdogo wangu huyu yuko wapi anipe majibu......
mara ya mwisho kwenye uzi wake wa kummwaga lecturer sikuweza kuongea naye nikasema nitamtafuta siku nyingine.
kwenye uzi wa KakaKiiza, sijui waliishiana wapi maana hata sijaona kama @amu alitia jibu pale au la....
nimejaribu kumwuliza KakaKiiza naye inaonekana hajui aliko.....
najaribu kuwaza au yale mashambulizi ya rafiki zangu snowhite na gfsonwin yamemkimbiza jf?
jamani anayejua uwepo wake huyu mdogo wangu chonde chonde anifikishie salamu kuwa dada mkubwa anammiss mno, natamani kuongea naye kidogo jamani.....
anaitwa nani sasa rafiki?
si mlichukuana kwa mbwebwe hapa nakunisuta mie sasa sema yuko wapi mpenzio .na nina RB yako ujue
wapi @amu kipenzio cha roho si mlisema kufa kufaana labda mto uwatenganishe mmja akishindwa ruka hahahahaahahahah:horn::horn::horn::horn😛olisi hawajafika tu mimi ninayo yakwako hadi nimeifulia kwenye saluwali!!:smile-big:
wapi @amu kipenzio cha roho si mlisema kufa kufaana labda mto uwatenganishe mmja akishindwa ruka hahahahaahahahah
FP nipe hela nianzishe msako...😎
mbona yupo dada mkubwa!
mtafute tu utampata!
pole kwa kummisss nikikkutana nae nitamfikishia salamu amu!
ah ah ah! Raiza mie nakutazama
Mimi nimem miss sana kipenzi changu Raiza
huyo kipenzi chako Raiza mfungulie uzi mwingine shem....
usichakachue huu wa kumtafuta mdogo wangu amu...... chonde
Ha ha ha!!
Umefurahishwa na nini rafiki?
Seriously nisaidieni mwenzenu
amu kabadili jina baada ya kuona anasumbuliwa sana na kina Filipo!
nawashukuru nyie wooote kwa hints.....ahahaaaaa msalimie amu bana
ahahaaaaa msalimie amu bana
nawashukuru nyie wooote kwa hints.....
uzuri Mungu hakunyimi kila kitu......
akili za kujumlisha na kutoa kanijalia kwa wingi sana....
nami nawaacha mu-hang kama mlivyoniacha mimi, lol!
topic :closed_2:
nawashukuru nyie wooote kwa hints.....
uzuri Mungu hakunyimi kila kitu......
akili za kujumlisha na kutoa kanijalia kwa wingi sana....
nami nawaacha mu-hang kama mlivyoniacha mimi, lol!
topic :closed_2:
naona .... utapata kivuli chake usijalisiye wenyewe tunamtafuta humu ujue