D Darwin Nunez Member Joined Jun 12, 2022 Posts 90 Reaction score 212 Oct 29, 2022 #1 Sote tulishiriki, tukahesabiwa, sasa ni wakati wa kufahamu matokeo. Tarehe 31 Oktoba, 2022 Uwanja wa Jamhuri Dodoma. Nyote mnakaribishwa.
Sote tulishiriki, tukahesabiwa, sasa ni wakati wa kufahamu matokeo. Tarehe 31 Oktoba, 2022 Uwanja wa Jamhuri Dodoma. Nyote mnakaribishwa.
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,264 Reaction score 27,132 Oct 29, 2022 #2 M A T A P E L I T U
Brightfame JF-Expert Member Joined Sep 14, 2016 Posts 1,371 Reaction score 1,456 Oct 29, 2022 #3 Darwin Nunez said: Sote tulishiriki, tukahesabiwa, sasa ni wakati wa kufahamu matokeo. Tarehe 31 Oktoba, 2022 Uwanja wa Jamhuri Dodoma. Nyote mnakaribishwa. Click to expand... Ilikuwa zamani
Darwin Nunez said: Sote tulishiriki, tukahesabiwa, sasa ni wakati wa kufahamu matokeo. Tarehe 31 Oktoba, 2022 Uwanja wa Jamhuri Dodoma. Nyote mnakaribishwa. Click to expand... Ilikuwa zamani
mwandende JF-Expert Member Joined Feb 16, 2017 Posts 11,005 Reaction score 20,805 Oct 29, 2022 #4 Hivi hata matokeo ya sensa pia yanahitaji mkusanyiko wa watu? Hilo ni suala la kutamka hata dk 30 haziishi. Kweli Africa hatuthamini wakati. Time is money.
Hivi hata matokeo ya sensa pia yanahitaji mkusanyiko wa watu? Hilo ni suala la kutamka hata dk 30 haziishi. Kweli Africa hatuthamini wakati. Time is money.
Pakawa JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 7,973 Reaction score 13,647 Oct 29, 2022 #5 Mama yangu Anna ana jambo binafsi
Wildchild JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 19,411 Reaction score 21,938 Oct 29, 2022 #6 fundi bishoo said: M A T A P E L I T U Click to expand... Huenda ukatangaziwa kufutwa kwa tpzo zote na kupungua gharama za Maisha,Sasa usikatae tu
fundi bishoo said: M A T A P E L I T U Click to expand... Huenda ukatangaziwa kufutwa kwa tpzo zote na kupungua gharama za Maisha,Sasa usikatae tu
F FRESHMAN JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 9,137 Reaction score 34,793 Oct 29, 2022 #8 Binafsi sijahesabiwa.. hayo matokeo ni batili