Serkali kutangaza matokeo ya sensa 31 Octoba

Serkali kutangaza matokeo ya sensa 31 Octoba

Darwin Nunez

Member
Joined
Jun 12, 2022
Posts
90
Reaction score
212
Sote tulishiriki, tukahesabiwa, sasa ni wakati wa kufahamu matokeo. Tarehe 31 Oktoba, 2022 Uwanja wa Jamhuri Dodoma.

Nyote mnakaribishwa.
 
Hivi hata matokeo ya sensa pia yanahitaji mkusanyiko wa watu?

Hilo ni suala la kutamka hata dk 30 haziishi.


Kweli Africa hatuthamini wakati.

Time is money.
 
  • Thanks
Reactions: 911
Screenshot_20221029-173306.png
 
Back
Top Bottom