Serukamba: Serikali iige Rwanda ambako raia wote wana Bima ya afya na wale "wanyonge" wanakatiwa bima na Serikali

Serukamba rudi kwenu Rwanda kuna fursa kule...
 
'Sawa ndo maana nikaja neno sijui'

Sasa kama hujui ulikuja kuchangia nini,si ungetulia tu ukaendelea kuwapikia chai wakina polepole hapo Lumumba.

dodge
Kuwapikia polepole hapo Lumumba wasomi wetu kama wewe ni hopeless kabisa unajifanya unapenda siasa wakati siasa haikutaki kaa pembeni na siasa kama Mimi hapa waachiewanaojua iyo siasa Mimi niko free na Tanzania yangu sio mavyama yenu sijui so mtu ulie mtaja kwangu hana impact yoyote
 

Hahahah wasomi wetu wa elimu bure wanaandika 'IYO' hahah,si mchezo.

dodge
 
Nyerere alisema "mimi kwenye awamu yangu kuna mambo mengi nimefanya, mengine mazuri na mengine ya hovyo" akaendelea kwamba waliofuata baada yake "wanachukua kwenye uongozi wake yale ya hovyo na mazuri wakiyaacha" Mleta mada serikali yetu nafikiri imeshaiga mengi sasa inategemea wanaiga nini, na hili wangelichukua basi itapendeza
 
Bima ya afya ni wizi kabisaaa!

Sikati ujinga huu, mnafungwa msiende nje ya nchi kutibiwa.

Wao tiba ni nje! Mnalipishwa kijanja!
 
Hili ndio tatizo la kusoma hadi darasa la saba alafu unajifanya kama umetoka Harvard vile?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la Tanzania ni elimu. Wengi wetu hata hatujui umuhimu wa hizo bima za afya. Maana asilimia kubwa ya watanzania wanaamini kwenye ramli na waganga wa kienyeji.
 

Mfumo upi wa elimu ambao haujapitwa na wakati? Tuangalie ni nchi gani zina mfumo huo? Tutajie hapa ili tuangalie kwa upana wake na kuangalia tofauti zake.
 
Tatizo la Tanzania ni elimu. Wengi wetu hata hatujui umuhimu wa hizo bima za afya. Maana asilimia kubwa ya watanzania wanaamini kwenye ramli na waganga wa kienyeji.
Hujaelimika wewe! ramli na waganga siyo Elimu? Unapenda bima kwa sababu ni za wazungu?kwa gumbaru yako hiyo unafikiri wazungu watakupenda
 
Kwa wenzetu wajanja, population kubwa ni mtaji - mahali kama China sasa wanakaribia kuwa taifa lenye nguvu kuliko Marekani.
Uwingi wa watu hapa kwetu unaonekana ni mzigo kwa sababu wengi hawafanyi kazi ya kuzalisha ila wamebaki kuwa wachuuzi na walaji tu. Uwingi wa watu ni mtaji kwa mataiffa yaliyojipanga vizuri. Nenda Kariakoo ukaone watu walivyowengi mitaani na wanachofanya ni kuchuuza tu na wengine ni kuzurula - yatupasa kutumia vizuri na kwa maarifa rasilimali watu tuliyonayo kuleta maendeleo na hivyo tunaweza kuwakatia bima watu wetu wote bila kujali uwingi wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…