Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Mimi ni mfanyabiashara, nwishoni mwa mwaka jana niliwekwa mahabusu kwa kukataa kulipa tozo ya kuzoa takataka za wamachinga!
Kukataa kwangu kulitokana na kuamini kodi hiyo ya huduma ni kwa ajili ya uzoaji takataka na huduma nyingine, hatahivyo niliambiwa kwa sasa kodi hiyo ni kwa ujenzi wa barabara na madarasa tu ndiyo sababu wameanzisha tozo za usafi, tozo hii hutozwa wenye fremu za maduka huku wazalishaji wa taka ambao ni wamachinga wakisamehewa kama ambavyo wanavyosamehewa kushiriki siku za usafi.
Swali langu ni nani mwenye jukumu la kukusanya pesa za ujenzi wa barabara na madarasa na utitiri wa kodi kwa wafanyabiashara nini sulihisho lake?