Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
- Thread starter
- #21
Mbona madarasa na barabara anajenga mama!Duh hatari sana , tutaweza kweli kutoboza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona madarasa na barabara anajenga mama!Duh hatari sana , tutaweza kweli kutoboza
Mbona madarasa na barabara anajenga mama!Duh hatari sana , tutaweza kweli kutoboza
Hiyo 20,000 mbona chamtoto.Kuzoa taka za shs 20,000/
Kuzoa taka za shs20,000/= lazima duka lichakate majani ya kula ng'ombe, ukiuza unga tu sijui utazipata wapi hizo taka.
Tatizo wafanyabiashara tunashindwa kuungana ili tupate haki yetu kama wafanyavyo wamachinga.Hiyo 20,000 mbona chamtoto.
Hiyo ni ushuru wa taka Si service levy.
Tatiz ni service levy, wanachukia mashine ya efd Kwa nguvu, wakipata mauzo Yako ya mwaka,
Wanakulazimisha ulipe 2% ya annual sales.
Yaani wanataka pesa kwenye MAUZO Si Ktk FAIDA.
Service levy pekee watu wanalipa hd ml 5 Kwa mwaka,
Hiyo service levy inaenda Jiji,
Hapo Bado hujaenda TRA.
Tuungane na makundi mbalimbali ya WAKULIMA, Wafugaji, Watumishi Serikali, Wafanyibiadhara wakubwa Kwa wadogo, Wanasiasa vyama mbalimbali, Wachukuzi, nk kuhakikisha kuwa;Tatizo wafanyabiashara tunashindwa kuungana ili tupate haki yetu kama wafanyavyo wamachinga.
Tatizo wengi wanadhani katiba inawahusu wanasiasa tu! Tumejazwa ujinga.Tuungane na makundi mbalimbali ya WAKULIMA, Wafugaji, Watumishi Serikali, Wafanyibiadhara wakubwa Kwa wadogo, Wanasiasa vyama mbalimbali, Wachukuzi, nk kuhakikisha kuwa;
Pasifanyike uchaguzi wowote ikiwa haijapatikana KATIBA mpya na Tume huru ya Uchaguzi.
Aaamen.
Tusichoke Kutoa Elimu, Tutafika tu.Tatizo wengi wanadhani katiba inawahusu wanasiasa tu! Tumejazwa ujinga.