Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Na tunazolipa TRA kwa ajili ya ujenzi wa barabara na shule?Halmashauri
Watawala wanapenda kubuni kodi ili wavae suti.Nchi hi[emoji848]
TRA zinalipa mishahara ya Watumishi wa umma na Deni la TaifaNa tunazolipa TRA kwa ajili ya ujenzi wa barabara na shule?
Kwahiyo wanapotuonesha barabara na madarasa wanatudanganya.TRA zinalipa mishahara ya Watumishi wa umma na Deni la Taifa
Unaelewa maana ya Deni la Taifa lakin?Kwahiyo wanapotuonesha barabara na madarasa wanatudanganya.
Mdudu ameingiaje kwenye kokwa la embe.Unaelewa maana ya Deni la Taifa lakin?
Balozi yule wa Malawi alijigamba likiwashwa asubuhi halizimwi mpaka wanapokwenda kulala.
Kuzoa taka za shs 20,000/View attachment 2485665
Huyu Kajenjere anakula hela nyingi mno, sasa kila duka 20,00 kwa taka gani!!
Kuzoa taka za shs20,000/= lazima duka lichakate majani ya kula ng'ombe, ukiuza unga tu sijui utazipata wapi hizo taka.View attachment 2485665
Huyu Kajenjere anakula hela nyingi mno, sasa kila duka 20,00 kwa taka gani!!
Wanaopewa tenda ni wao wenyewe dhidi ya watawaliwa.Hii nchi uhuni ni mwingi ndio maana huwa sitoi lawama kwa mtu anayejitahidi kukwepa kodi
Mzee ulishaambiwa ukiona yamekushinda hamia BurundiMimi ni mfanyabiashara, wishoni mwa mwaka jana niliwekwa mahabusu kwa kukataa kulipa tozo ya kuzoa takataka za wamachinga!
Kukataa kwangu kulitokana na kuamini kodi hiyo ya huduma ni kwa ajili ya uzoaji takataka na huduma nyingine, hatahivyo niliambiwa kwa sasa kodi hiyo ...
Duh hatari sana , tutaweza kweli kutobozaView attachment 2485665
Huyu Kajenjere anakula hela nyingi mno, sasa kila duka 20,00 kwa taka gani!!
Walinirudisha mpakani eti sina pasipoti! Walioniruhusu kuhama ni wao na walionizuia ni wao, hivi ni viroja.Mzee ulishaambiwa ukiona yamekushinda amia Burundi