TATIANA
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 4,690
- 2,433
Afanye mazoez ya kergelHakuna anayejua ya kubana K?
Nahitaji niununulie mchepuko wangu mmoja naona imelegea na ladha hamna. Ila kwa nje ni lizuri sio mchezo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afanye mazoez ya kergelHakuna anayejua ya kubana K?
Nahitaji niununulie mchepuko wangu mmoja naona imelegea na ladha hamna. Ila kwa nje ni lizuri sio mchezo.
Mazoezi nishawahi kumueleza na ninajua na nikamuelekeza. Tatizo mvivu. Si unajua mabinti wa mjini hawa.Afanye mazoez ya kergel
Hehehee no shortcut.. Madawa yatamletea shida tu.....Mazoezi nishawahi kumueleza na ninajua na nikamuelekeza. Tatizo mvivu. Si unajua mabinti wa mjini hawa.
Kuna mmoja namuona insta anajiita rachel asili. Miaka 2 sasa sijafanya maamuzi kuchukua au kuchoma pesa. Vp unamfahamu? Maana anadai bidhaa zake ni asilia sijui ni formula anakupa unaenda tengeneza mwenyewe.Hehehee no shortcut.. Madawa yatamletea shida tu.....
Heheee.. I'm very conservative... Hata huwa sijaribu vitu ambavyo najua kwa njia salama naweza fikia malengo... Ni pamoja na weight loss na vitu kama hivi vya kubana ikulu...Kuna mmoja namuona insta anajiita rachel asili. Miaka 2 sasa sijafanya maamuzi kuchukua au kuchoma pesa. Vp unamfahamu? Maana anadai bidhaa zake ni asilia sijui ni formula anakupa unaenda tengeneza mwenyewe.
Huu mdoli wangu naweza kuulipia gym na akawa na good instructor, lakini navyoujua nitatupa pesa bure.Heheee.. I'm very conservative... Hata huwa sijaribu vitu ambavyo najua kwa njia salama naweza fikia malengo... Ni pamoja na weight loss na vitu kama hivi vya kubana ikulu...
Heheeeee basi huna sababu ya kupoteza pesa.. We kubaliana na hali yake, mpende basiHuu mdoli wangu naweza kuulipia gym na akawa na good instructor, lakini navyoujua nitatupa pesa bure.
Na mimi nipasie ukipewa 🙏🏿
Picha haijafunguka mkuu! Cjui kwann picha zingine hazifunguki[emoji3525]Kama unataka kuwa na rangi yako halisi but inayovutia na yenye afya ukipata hivi itakuwa poa. Sio lazima uwe na vyote unaangalia kipi unahitaji kulingana na ngozi yako. View attachment 2675233
Kama unatumia app inawezekana ni version uliyonayo kwenye simu. Mie ilinisumbua nikatoa nikaweka ingine ambayo naweza kufungua pichaPicha haijafunguka mkuu! Cjui kwann picha zingine hazifunguki[emoji3525]
Haitokufaa kwakweli,niliwahi kudanganyika nikanunua Goldie lotion na cream yake halafu me ni black aisee niliharibika chunusi kibao na inaleta weupe ule wa mchongo niliishia kuvigawa nikaanza kutibu chunusiYaani uso wangu ni maji ya kunde, una mafuta pia, nimegundua pia ngozi yangu haitaki vipodozi vikali. Goldie haitonifaa, right?
Jaribu dudu osun ilinisaidia sana kupambana na chunusi na madoaMena ndio natumia sasa hivi ya Lemon lakini wapi labda nijaribu hizo nyengine.
Waongezee na scrub ambayo ni gentle na oil nzuri.Watumie Toner Ya Ordinary OG
Lakini siyo copy
Waachane na Nivea Deodorant pia
And yet its not for every one ujue!! Cha msingi aijue ngozi yake vyema na ni vitu gani vinafaa kwa ngozi yake then atafute facial wash nzuri aachane na hayo masabuni makali kwa ngozi ya uso.Jaribu dudu osun ilinisaidia sana kupambana na chunusi na madoa
SureAnd yet its not for every one ujue!! Cha msingi aijue ngozi yake vyema na ni vitu gani vinafaa kwa ngozi yake then atafute facial wash nzuri aachane na hayo masabuni makali kwa ngozi ya uso.
Mbona sijaomba ushauri kasone tena uelewa. Nimesema tu napenda kubakia natural na nimeomba kitu cha kutoa weusi kwapani pia nimewaita watumiaji wenzangu basi.Yaani mtoa mada tayari unazo products mkononi ndio unatafuta ushauri na reviews? Ni nini haswa kilikufanya ununue hizo products?
Je unaijua ngozi yako vyema, na ni nini haswa unataka kuachieve na ni vitu gani inataka na hivyo vitu ukaviona kwenye hizo products?