Set nzima ya WIX

Set nzima ya WIX

Kuna mmoja namuona insta anajiita rachel asili. Miaka 2 sasa sijafanya maamuzi kuchukua au kuchoma pesa. Vp unamfahamu? Maana anadai bidhaa zake ni asilia sijui ni formula anakupa unaenda tengeneza mwenyewe.
Heheee.. I'm very conservative... Hata huwa sijaribu vitu ambavyo najua kwa njia salama naweza fikia malengo... Ni pamoja na weight loss na vitu kama hivi vya kubana ikulu...
 
Yaani uso wangu ni maji ya kunde, una mafuta pia, nimegundua pia ngozi yangu haitaki vipodozi vikali. Goldie haitonifaa, right?
Haitokufaa kwakweli,niliwahi kudanganyika nikanunua Goldie lotion na cream yake halafu me ni black aisee niliharibika chunusi kibao na inaleta weupe ule wa mchongo niliishia kuvigawa nikaanza kutibu chunusi
 
Yaani mtoa mada tayari unazo products mkononi ndio unatafuta ushauri na reviews? Ni nini haswa kilikufanya ununue hizo products?

Je unaijua ngozi yako vyema, na ni nini haswa unataka kuachieve na ni vitu gani inataka na hivyo vitu ukaviona kwenye hizo products?
 
Jaribu dudu osun ilinisaidia sana kupambana na chunusi na madoa
And yet its not for every one ujue!! Cha msingi aijue ngozi yake vyema na ni vitu gani vinafaa kwa ngozi yake then atafute facial wash nzuri aachane na hayo masabuni makali kwa ngozi ya uso.
 
Yaani mtoa mada tayari unazo products mkononi ndio unatafuta ushauri na reviews? Ni nini haswa kilikufanya ununue hizo products?

Je unaijua ngozi yako vyema, na ni nini haswa unataka kuachieve na ni vitu gani inataka na hivyo vitu ukaviona kwenye hizo products?
Mbona sijaomba ushauri kasone tena uelewa. Nimesema tu napenda kubakia natural na nimeomba kitu cha kutoa weusi kwapani pia nimewaita watumiaji wenzangu basi.
Au umeelewaje dada?
 
Back
Top Bottom