Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,495
- 5,025
Msaada na mie mtoto wa kiume scrub ipi ni borq kabisa nitumie nina ngozi ya mafuta mengi na makovu pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumia product za NaXMsaada na mie mtoto wa kiume scrub ipi ni borq kabisa nitumie nina ngozi ya mafuta mengi na makovu pia
Zinapatikana wapiTumia product za NaX
Ku utafuta Uzuri ni lazima ugharamieKama unataka kuwa na rangi yako halisi but inayovutia na yenye afya ukipata hivi itakuwa poa. Sio lazima uwe na vyote unaangalia kipi unahitaji kulingana na ngozi yako. View attachment 2675233
Hahhahaha.. Ni kweli maana ni gharama haswaKu utafuta Uzuri ni lazima ugharamie
Nipo hapa kuchota maarifa
True [emoji17][emoji17][emoji4][emoji4]
Nimependa package ulizoshusha TATIANA . Hebu nisaidie mwangaza hapa package yote niandae ngapi hapo au lah kama itakuwa mkasi sana naweza kuanza na vipi ambavyo ni basic.Natamani kum suprise baby mama soon.Kama unataka kuwa na rangi yako halisi but inayovutia na yenye afya ukipata hivi itakuwa poa. Sio lazima uwe na vyote unaangalia kipi unahitaji kulingana na ngozi yako. View attachment 2675233
hiyo mbona mamlaka ya chakula na dawa hasa iyo serum na icho cha usoni walitangaza zina hydroquinone,pamoja na ile ya lavistaUna rangi gani....Mimi maji ya kunde...ki ukweli wix naogopa nikisema nipake mfululizo nitachubuka kabisa.
Uso wangu una mafuta .....nitumie product Gani nzuri ambazo hazichubui
Brand ya wix?hiyo mbona mamlaka ya chakula na dawa hasa iyo serum na icho cha usoni walitangaza zina hydroquinone,pamoja na ile ya lavista
yes iyo serum na face creamBrand ya wix?
mpaka product ya forever living nayo ilikuwemoBrand ya wix?
Nipe jina la mafuta mazuri ya ngozi yenye mafuta ambayo hayachubui dearyes iyo serum na face cream
Brand ya wix?
kama unaweza ku afford upate zile brand og za uk au usa au korea nafikiri Hornet atakuwa anauza og basi uchukue set ya usoni full na mwilini full ( body cream au butter kama una dry skin, body oil, body serum, body scrub, body wash (shower gel), na dodoki zuri linalosugua vizuri) ,pendelea kufanya body scrub , sauna weekly. kunywa maji , matunda na veggie's kwa wingi mazoezi kidogo pia stress zinazeesha, usikae sana kwenye jua. zipe products muda zifanye kazi at least six months mambo ya kutaka ku glow within a week ndo watu wanadondokea kutumia hydroquinone na steroids.Nipe jina la mafuta mazuri ya ngozi yenye mafuta ambayo hayachubui dear
Dear....kama unaweza ku afford upate zile brand og za uk au usa au korea nafikiri Hornet atakuwa anauza og basi uchukue set ya usoni full na mwilini full ( body cream au butter kama una dry skin, body oil, body serum, body scrub, body wash (shower gel), na dodoki zuri linalosugua vizuri) ,pendelea kufanya body scrub , sauna weekly. kunywa maji , matunda na veggie's kwa wingi mazoezi kidogo pia stress zinazeesha, usikae sana kwenye jua. zipe products muda zifanye kazi at least six months mambo ya kutaka ku glow within a week ndo watu wanadondokea kutumia hydroquinone na steroids.
Mimi binafsi brand za uk niliona gharama sana ku afford so natengeneza products zangu from scratch naagiza material nairobi na south korea natengeneza body butter ya kojic acid,vitamin c serum, niacinamide body cream,hyluronic serum, body serum na oil free face cream mwaka mzima nakuwa sina wasiwasi na hair products nilikuwa natumia gharama kubwa kununua set ya natural hair sasa hivi najitengenezea basi sina pressure.
Huwa unauzakama unaweza ku afford upate zile brand og za uk au usa au korea nafikiri Hornet atakuwa anauza og basi uchukue set ya usoni full na mwilini full ( body cream au butter kama una dry skin, body oil, body serum, body scrub, body wash (shower gel), na dodoki zuri linalosugua vizuri) ,pendelea kufanya body scrub , sauna weekly. kunywa maji , matunda na veggie's kwa wingi mazoezi kidogo pia stress zinazeesha, usikae sana kwenye jua. zipe products muda zifanye kazi at least six months mambo ya kutaka ku glow within a week ndo watu wanadondokea kutumia hydroquinone na steroids.
Mimi binafsi brand za uk niliona gharama sana ku afford so natengeneza products zangu from scratch naagiza material nairobi na south korea natengeneza body butter ya kojic acid,vitamin c serum, niacinamide body cream,hyluronic serum, body serum na oil free face cream mwaka mzima nakuwa sina wasiwasi na hair products nilikuwa natumia gharama kubwa kununua set ya natural hair sasa hivi najitengenezea basi sina pressure.
Yes, huwa nafanya customization kulingana na mahitaji ya muhusikaHuwa unauza
Haya madude sh ngap nimnunulie mubebe..Kama unataka kuwa na rangi yako halisi but inayovutia na yenye afya ukipata hivi itakuwa poa. Sio lazima uwe na vyote unaangalia kipi unahitaji kulingana na ngozi yako. View attachment 2675233
Bei inategemea umenunua wapi... Yanapakwa muda tofautiHaya madude sh ngap nimnunulie mubebe..
Haya yote anatumia mtu mmoja?
Kama ni ndio hayo yote anayapaka wakati gan?
Si kutwa nzima atakua anapaka mafuta..atafanya shughuli zingine kweli?Bei inategemea umenunua wapi... Yanapakwa muda tofauti