Set nzima ya WIX

Set nzima ya WIX

Mimi pia ngozi yangu ni very easy kuchubuka nilipoanzak kupaka wix na serum yake nikawa mweupeee nikaacha nikaanza rinju baadae nikchukua serum ya wix nikachanganya na rinju

Ninang’ara na sijawa mweupe
 
Kama unataka kuwa na rangi yako halisi but inayovutia na yenye afya ukipata hivi itakuwa poa. Sio lazima uwe na vyote unaangalia kipi unahitaji kulingana na ngozi yako. View attachment 2675233
Nimependa package ulizoshusha TATIANA . Hebu nisaidie mwangaza hapa package yote niandae ngapi hapo au lah kama itakuwa mkasi sana naweza kuanza na vipi ambavyo ni basic.Natamani kum suprise baby mama soon.
Nitashukuru pia uki vi list hvyo vipodozi kwenye picha ili nijue majina niendapo dukani.
Asante
 
Una rangi gani....Mimi maji ya kunde...ki ukweli wix naogopa nikisema nipake mfululizo nitachubuka kabisa.

Uso wangu una mafuta .....nitumie product Gani nzuri ambazo hazichubui
hiyo mbona mamlaka ya chakula na dawa hasa iyo serum na icho cha usoni walitangaza zina hydroquinone,pamoja na ile ya lavista
 
Brand ya wix?
44BDD604-3ED0-4EEF-B8DF-A369A837CFD8.jpeg
 
Nipe jina la mafuta mazuri ya ngozi yenye mafuta ambayo hayachubui dear
kama unaweza ku afford upate zile brand og za uk au usa au korea nafikiri Hornet atakuwa anauza og basi uchukue set ya usoni full na mwilini full ( body cream au butter kama una dry skin, body oil, body serum, body scrub, body wash (shower gel), na dodoki zuri linalosugua vizuri) ,pendelea kufanya body scrub , sauna weekly. kunywa maji , matunda na veggie's kwa wingi mazoezi kidogo pia stress zinazeesha, usikae sana kwenye jua. zipe products muda zifanye kazi at least six months mambo ya kutaka ku glow within a week ndo watu wanadondokea kutumia hydroquinone na steroids.
Mimi binafsi brand za uk niliona gharama sana ku afford so natengeneza products zangu from scratch naagiza material nairobi na south korea natengeneza body butter ya kojic acid,vitamin c serum, niacinamide body cream,hyluronic serum, body serum na oil free face cream mwaka mzima nakuwa sina wasiwasi na hair products nilikuwa natumia gharama kubwa kununua set ya natural hair sasa hivi najitengenezea basi sina pressure.
 
Dear....
Ngoja niongee na hornet
 
Huwa unauza
 
Kama unataka kuwa na rangi yako halisi but inayovutia na yenye afya ukipata hivi itakuwa poa. Sio lazima uwe na vyote unaangalia kipi unahitaji kulingana na ngozi yako. View attachment 2675233
Haya madude sh ngap nimnunulie mubebe..
Haya yote anatumia mtu mmoja?
Kama ni ndio hayo yote anayapaka wakati gan?
 
Back
Top Bottom