Magufuli 05
JF-Expert Member
- May 7, 2023
- 1,990
- 3,824
Akili umeinya?Ni kama vile Seth Singh kuhudhuria Harambee ya chama chake imekuwa ni uhalifu
Acheni hizo jamani
Navalonge swela [emoji120]
Kila cku tukisema ccm ni majizi muwe mnatuelewa."Mimi na Magufuli ni kitu kimoja" kweli? Magufuli yupi analiyemaanisha hapa? Magufuli huyu aliyemkamata Seth kwa ufisadi na utapeli? Magufuli huyu wa Chato au ni Magufuli wa Msoga?
Leo Magufuli anavyoona kwamba yule Habinder aliyemkamata Leo amechangia chama, anajisikiaje? Ni kwa namna Gani serikali hii inapambana na itapambana na ufisadi na mafisadi?
Hii ni serikali ambayo haijajitenga na ufisadi na mafisadi. Ni Serikali ambayo imehalalisha ufisadi na utakuwa sehemu yake. Seth alivyotuibia hakupaswa kabisa Leo kukaribishwa ndani ya nyumba.
Pia soma > Imewezekanaje Harbinder Sethi kushiriki siasa za CCM huku akiwa ni raia wa Kenya?
Kwa kweli Tanzania imekula hasara kwa huyu Rais.
Kama ana kesi kamfungulie wewe mleta mada.."Mimi na Magufuli ni kitu kimoja" kweli? Magufuli yupi analiyemaanisha hapa? Magufuli huyu aliyemkamata Seth kwa ufisadi na utapeli? Magufuli huyu wa Chato au ni Magufuli wa Msoga?
Leo Magufuli anavyoona kwamba yule Habinder aliyemkamata Leo amechangia chama, anajisikiaje? Ni kwa namna Gani serikali hii inapambana na itapambana na ufisadi na mafisadi?
Hii ni serikali ambayo haijajitenga na ufisadi na mafisadi. Ni Serikali ambayo imehalalisha ufisadi na utakuwa sehemu yake. Seth alivyotuibia hakupaswa kabisa Leo kukaribishwa ndani ya nyumba.
Pia soma > Imewezekanaje Harbinder Sethi kushiriki siasa za CCM huku akiwa ni raia wa Kenya?
Kwa kweli Tanzania imekula hasara kwa huyu Rais.
Kwani alifungwa?
Kama ana kesi kamfungulie wewe mleta mada..
Waliomwachia unawaona wajinga au?
Kwani seth ni raia wa wapi?Ni kama vile Seth Singh kuhudhuria Harambee ya chama chake imekuwa ni uhalifu
Acheni hizo jamani
Navalonge swela 🙏
Plea ni kuwa ukilipa biashara imeishaUnajua maana ya "plea" kijana? Au umekariri past papers unakuja kuhorojeka hapa
"Mimi na Magufuli ni kitu kimoja" kweli? Magufuli yupi analiyemaanisha hapa? Magufuli huyu aliyemkamata Seth kwa ufisadi na utapeli? Magufuli huyu wa Chato au ni Magufuli wa Msoga?
Leo Magufuli anavyoona kwamba yule Habinder aliyemkamata Leo amechangia chama, anajisikiaje? Ni kwa namna Gani serikali hii inapambana na itapambana na ufisadi na mafisadi?
Hii ni serikali ambayo haijajitenga na ufisadi na mafisadi. Ni Serikali ambayo imehalalisha ufisadi na utakuwa sehemu yake. Seth alivyotuibia hakupaswa kabisa Leo kukaribishwa ndani ya nyumba.
Pia soma > Imewezekanaje Harbinder Sethi kushiriki siasa za CCM huku akiwa ni raia wa Kenya?
Kwa kweli Tanzania imekula hasara kwa huyu Rais.
Hakufungwa, alikaa jela kama Mbowe, Lissu.Kwani alifungwa?
Plea ni kuwa ukilipa biashara imeisha
Mbona watu kibao walilipa kipindi cha Magufuli na akawapitisha kuwa wabunge? Aliwakamata akawaweka ndani walivyoingia plea wakalipa akawapitisha ubunge
Mmojawapo ni Deo Mwanyika mbunge wa Njombe aliyemaliza Muda wake alikuwa mkuu wa Sheria kampuni ya ACACIA
Mtu akilipa ka clear deni .ukidaiwa ukilipa deji basi uko clean
Hakufungwa, alikaa jela kama Mbowe, Lissu.
Nimeuliza tu. Umri wangu miaka 66. Shikamoo mzee.Unajua maana ya "plea" kijana? Au umekariri past papers unakuja kuhorojeka hapa
Nimeuliza tu. Umri wangu miaka 66. Shikamoo mzee.