"Mimi na Magufuli ni kitu kimoja" kweli? Magufuli yupi analiyemaanisha hapa? Magufuli huyu aliyemkamata Seth kwa ufisadi na utapeli? Magufuli huyu wa Chato au ni Magufuli wa Msoga?
Leo Magufuli anavyoona kwamba yule Habinder aliyemkamata Leo amechangia chama, anajisikiaje? Ni kwa namna Gani serikali hii inapambana na itapambana na ufisadi na mafisadi?
Hii ni serikali ambayo haijajitenga na ufisadi na mafisadi. Ni Serikali ambayo imehalalisha ufisadi na utakuwa sehemu yake. Seth alivyotuibia hakupaswa kabisa Leo kukaribishwa ndani ya nyumba.
Pia soma >
Imewezekanaje Harbinder Sethi kushiriki siasa za CCM huku akiwa ni raia wa Kenya?
Kwa kweli Tanzania imekula hasara kwa huyu Rais.