GE2025 Seth wa PAP tuliyemkamata na kumfunga leo tunamkaribisha kuchangia chama?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
"Mimi na Magufuli ni kitu kimoja" kweli? Magufuli yupi analiyemaanisha hapa? Magufuli huyu aliyemkamata Seth kwa ufisadi na utapeli? Magufuli huyu wa Chato au ni Magufuli wa Msoga?

Leo Magufuli anavyoona kwamba yule Habinder aliyemkamata Leo amechangia chama, anajisikiaje? Ni kwa namna Gani serikali hii inapambana na itapambana na ufisadi na mafisadi?

Hii ni serikali ambayo haijajitenga na ufisadi na mafisadi. Ni Serikali ambayo imehalalisha ufisadi na utakuwa sehemu yake. Seth alivyotuibia hakupaswa kabisa Leo kukaribishwa ndani ya nyumba.

Pia soma > Imewezekanaje Harbinder Sethi kushiriki siasa za CCM huku akiwa ni raia wa Kenya?

Kwa kweli Tanzania imekula hasara kwa huyu Rais.

"Mimi na magufuli ni kitu kimoja" ilikua kabla ya kuzongwa na wahuni wa mtandao
 
"Mimi na Magufuli ni kitu kimoja" kweli? Magufuli yupi analiyemaanisha hapa? Magufuli huyu aliyemkamata Seth kwa ufisadi na utapeli? Magufuli huyu wa Chato au ni Magufuli wa Msoga?

Leo Magufuli anavyoona kwamba yule Habinder aliyemkamata Leo amechangia chama, anajisikiaje? Ni kwa namna Gani serikali hii inapambana na itapambana na ufisadi na mafisadi?

Hii ni serikali ambayo haijajitenga na ufisadi na mafisadi. Ni Serikali ambayo imehalalisha ufisadi na utakuwa sehemu yake. Seth alivyotuibia hakupaswa kabisa Leo kukaribishwa ndani ya nyumba.

Pia soma > Imewezekanaje Harbinder Sethi kushiriki siasa za CCM huku akiwa ni raia wa Kenya?

Kwa kweli Tanzania imekula hasara kwa huyu Rais.

Magufuli ni nani nchi hii? We bwege kweli, huyo mume wako ameshakufa kamfuate.
 
"Mimi na Magufuli ni kitu kimoja" kweli? Magufuli yupi analiyemaanisha hapa? Magufuli huyu aliyemkamata Seth kwa ufisadi na utapeli? Magufuli huyu wa Chato au ni Magufuli wa Msoga?

Leo Magufuli anavyoona kwamba yule Habinder aliyemkamata Leo amechangia chama, anajisikiaje? Ni kwa namna Gani serikali hii inapambana na itapambana na ufisadi na mafisadi?

Hii ni serikali ambayo haijajitenga na ufisadi na mafisadi. Ni Serikali ambayo imehalalisha ufisadi na utakuwa sehemu yake. Seth alivyotuibia hakupaswa kabisa Leo kukaribishwa ndani ya nyumba.

Pia soma > Imewezekanaje Harbinder Sethi kushiriki siasa za CCM huku akiwa ni raia wa Kenya?

Kwa kweli Tanzania imekula hasara kwa huyu Rais.

Jinsi Samia anavyolipa madai kwa siri sitashangaa kama Kalasinga analipwa fedha za umeme mpaka leo na kurudishiwa mambo wa kufua umeme kwa hisani ya Msoga na mnufaika wa fedha za wizi wa ESCROW.
 
Birds of the same feather fly together. Kwamba ndege wa manyoya yanayofanana huruka pamoja. Kalasinga, Rugemarila, Kikwete, Riz-1, wote wapigaji tu, wote Magfisadi na majizi makubwa.
 
"Mimi na Magufuli ni kitu kimoja" kweli? Magufuli yupi analiyemaanisha hapa? Magufuli huyu aliyemkamata Seth kwa ufisadi na utapeli? Magufuli huyu wa Chato au ni Magufuli wa Msoga?

Leo Magufuli anavyoona kwamba yule Habinder aliyemkamata Leo amechangia chama, anajisikiaje? Ni kwa namna Gani serikali hii inapambana na itapambana na ufisadi na mafisadi?

Hii ni serikali ambayo haijajitenga na ufisadi na mafisadi. Ni Serikali ambayo imehalalisha ufisadi na utakuwa sehemu yake. Seth alivyotuibia hakupaswa kabisa Leo kukaribishwa ndani ya nyumba.

Pia soma > Imewezekanaje Harbinder Sethi kushiriki siasa za CCM huku akiwa ni raia wa Kenya?

Kwa kweli Tanzania imekula hasara kwa huyu Rais.

Hatimaye Polisi yamsafisha
 
Back
Top Bottom