Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,414
- 6,029
Akili za kijamaa zinaleta umaskini vichwani mwetu, tunaishia kuangalia nani anayeinuka kiuchumi ili tuanze kumnyooshea vidole.Ni kama vile Seth Singh kuhudhuria Harambee ya chama chake imekuwa ni uhalifu
Acheni hizo jamani
Navalonge swela π
Sahihi Sethi singasinga wa PAP na Rugemalila hawakufungwa jela waliikuwa mahabusu tu hawajawahi hukumiwa kwenda jela kipindi cha MagufuliHakufungwa, alikaa jela kama Mbowe, Lissu.
Karithishwa roho mbaya yeye anaamua kwa vitendo kuiendeleza. Stupid mindsets.Kama ana kesi kamfungulie wewe mleta mada..
Waliomwachia unawaona wajinga au?
It was not personal"Mimi na Magufuli ni kitu kimoja" kweli? Magufuli yupi analiyemaanisha hapa? Magufuli huyu aliyemkamata Seth kwa ufisadi na utapeli? Magufuli huyu wa Chato au ni Magufuli wa Msoga?
Leo Magufuli anavyoona kwamba yule Habinder aliyemkamata Leo amechangia chama, anajisikiaje? Ni kwa namna Gani serikali hii inapambana na itapambana na ufisadi na mafisadi?
Hii ni serikali ambayo haijajitenga na ufisadi na mafisadi. Ni Serikali ambayo imehalalisha ufisadi na utakuwa sehemu yake. Seth alivyotuibia hakupaswa kabisa Leo kukaribishwa ndani ya nyumba.
Pia soma > Imewezekanaje Harbinder Sethi kushiriki siasa za CCM huku akiwa ni raia wa Kenya?
Kwa kweli Tanzania imekula hasara kwa huyu Rais.
Kwani Magufuli ndio nani wa kuamua nani awe nani?"Mimi na Magufuli ni kitu kimoja" kweli? Magufuli yupi analiyemaanisha hapa? Magufuli huyu aliyemkamata Seth kwa ufisadi na utapeli? Magufuli huyu wa Chato au ni Magufuli wa Msoga?
Leo Magufuli anavyoona kwamba yule Habinder aliyemkamata Leo amechangia chama, anajisikiaje? Ni kwa namna Gani serikali hii inapambana na itapambana na ufisadi na mafisadi?
Hii ni serikali ambayo haijajitenga na ufisadi na mafisadi. Ni Serikali ambayo imehalalisha ufisadi na utakuwa sehemu yake. Seth alivyotuibia hakupaswa kabisa Leo kukaribishwa ndani ya nyumba.
Pia soma > Imewezekanaje Harbinder Sethi kushiriki siasa za CCM huku akiwa ni raia wa Kenya?
Kwa kweli Tanzania imekula hasara kwa huyu Rais.
Kama una ushahidi ametuibia mpeleke mahakamani"Mimi na Magufuli ni kitu kimoja" kweli? Magufuli yupi analiyemaanisha hapa? Magufuli huyu aliyemkamata Seth kwa ufisadi na utapeli? Magufuli huyu wa Chato au ni Magufuli wa Msoga?
Leo Magufuli anavyoona kwamba yule Habinder aliyemkamata Leo amechangia chama, anajisikiaje? Ni kwa namna Gani serikali hii inapambana na itapambana na ufisadi na mafisadi?
Hii ni serikali ambayo haijajitenga na ufisadi na mafisadi. Ni Serikali ambayo imehalalisha ufisadi na utakuwa sehemu yake. Seth alivyotuibia hakupaswa kabisa Leo kukaribishwa ndani ya nyumba.
Pia soma > Imewezekanaje Harbinder Sethi kushiriki siasa za CCM huku akiwa ni raia wa Kenya?
Kwa kweli Tanzania imekula hasara kwa huyu Rais.
JPM alifanya upumbavu mkubwa sana kwa kuto kuwa chinja hawa wahalifu wakubwa lilikuwa kosa kubwa sana
Naongelea kukaa jela, haya ya alitokaje sijui ila Mbowe na Seth wote walikaa jela.Mbowe hakuenda kwenye plea mkuu, yani vitu tofauti kabisa kisheria!
Tukisema CCM na ufisadi ni chanda na pete tunakosea?Ni kama vile Seth Singh kuhudhuria Harambee ya chama chake imekuwa ni uhalifu
Acheni hizo jamani
Navalonge swela π
plea bargain ni a legal process of convention of criminal liability into civil liability, yaani hii ni biashara kwa serikali, kupitia kwa DPP kufanya biashara ya kuuza jinai, kwa wenye pesa zao, na kuigeuza sio kesi tena bali ni biashara, business kwa wenye fedha zao, sio tuu kuununua uhuru wao, bali pia kufuta jinai zao!.
Walimuachia sio wajinga tu bali ni mashetani kabisa, maana ni majizi wenzie wanaoliumiza hili taifa.Kama ana kesi kamfungulie wewe mleta mada..
Waliomwachia unawaona wajinga au?
Magufuli wa msoga"Mimi na Magufuli ni kitu kimoja" kweli? Magufuli yupi analiyemaanisha hapa? Magufuli huyu aliyemkamata Seth kwa ufisadi na utapeli? Magufuli huyu wa Chato au ni Magufuli wa Msoga?
Leo Magufuli anavyoona kwamba yule Habinder aliyemkamata Leo amechangia chama, anajisikiaje? Ni kwa namna Gani serikali hii inapambana na itapambana na ufisadi na mafisadi?
Hii ni serikali ambayo haijajitenga na ufisadi na mafisadi. Ni Serikali ambayo imehalalisha ufisadi na utakuwa sehemu yake. Seth alivyotuibia hakupaswa kabisa Leo kukaribishwa ndani ya nyumba.
Pia soma > Imewezekanaje Harbinder Sethi kushiriki siasa za CCM huku akiwa ni raia wa Kenya?
Kwa kweli Tanzania imekula hasara kwa huyu Rais.
Kuwa mkuu wa sheria wa AcAcia maana yake yeye alikuwa mwajiriwa. Anafuata maelekezo ya wenye kampuni Acacia. Sasa yeye kosa lake ni nini!? Wewe unaweza kumuamini mfanyakazi hususani muhasibu uliyemkamata akikuibia kwenye kampuni yako, na akaamua kulipa pesa alizoiba!?Plea ni kuwa ukilipa biashara imeisha
Mbona watu kibao walilipa kipindi cha Magufuli na akawapitisha kuwa wabunge? Aliwakamata akawaweka ndani walivyoingia plea wakalipa akawapitisha ubunge
Mmojawapo ni Deo Mwanyika mbunge wa Njombe aliyemaliza Muda wake alikuwa mkuu wa Sheria kampuni ya ACACIA
Mtu akilipa ka clear deni .ukidaiwa ukilipa deji basi uko clean
Ni vyema wakati mwingine ukakaa kimya kuuficha ujinga wako.Kama ana kesi kamfungulie wewe mleta mada..
Waliomwachia unawaona wajinga au?
Pre bargaining inamuondelea hatia?Kwani alifungwa?
Kwani Singa na Rugemalira walikuwa wanadaiwa? Ile ilikuwa case ya madai? Ilikuwa ni jinai nonbailable offence( uhujumu uchumi)Plea ni kuwa ukilipa biashara imeisha