Setting za kujua waliokupigia wakati umezima simu yako (MTANDAO WA TIGO)

Setting za kujua waliokupigia wakati umezima simu yako (MTANDAO WA TIGO)

Howt Lady

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2013
Posts
1,518
Reaction score
471
Habari Zenu Waheshimiwa……!!!!!!!

Naomba kufahamishwa Settings za MTANDAO WA TIGO au Codes za Kujua alie kutafuta hewani/Au alie Kupigia wakati simu yako ikiwa Off Line/Au ikiwa Imezimwa………!!!!!!!

Kwa mfano MTANDAO WA VODACOM kama uko Tanzania ukibonyeza hizi Code *62*0754125125# Ukiwa umezima simu yako au uko kwenye sehemu yenye hitilafu ya Mtandao utatumiwa ujumbe watu waliokutafuta wakakukosa wakati haupo hewani……!!!!!!

Naomba kujua Setting za TIGO-TANZANIA Pale unapoiwasha tu upate kuona waliokutafuta kipindi ulipokua OFF LINE iwe kwa message au kwa beeping mode whatever kikubwa ujue tu…….!!!!!!!

Alina ya simu iphone 13 pro max…….!!!!!!

Ahsante🙏
 
Back
Top Bottom