Decree Holder
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 2,559
- 3,745
Tatizo afya ya mshkaji imekua dili kwa wengine. Kuna watu wwnajichukulia point kwa kujifanya kumtakia jamaa apone. Wanapost mitandaoni ili waendelee kuzungumziwaOmmy ana hali mbaya yupo ICU kitachomuokoa ni maombi yetu tu. Sijajua why Seven ataki kusema ukweli.
Kitakachomuokoa ni tiba sahihi, wewe maombi yako hayana usaidizi katika ugonjwa wa mtu, hata ungekuwa wewe ndo unaumwa maombi hayakusaidiiOmmy ana hali mbaya yupo ICU kitachomuokoa ni maombi yetu tu. Sijajua why Seven ataki kusema ukweli.
mawazo km haya ndo yanatufanya tubaki kama tulivyoManager Seven Mosha anayewasimamia Ali Kiba na Ommy Dimpoz amekanusha taarifa zilizosambaa kuwa Ommy Dimpoz amerudishwa hospitali na kulazwa ICU huko south Africa.
Akiongea na Millard Ayo akiwa South Africa Manager Seven amesema kilichopo ni kwamba Ommy Dimpoz alikwenda hospital kucheki afya na maendeleo yake baada ya operation aliyoifanya miezi mitatu iliyopita. Ommy Dimpoz alichekiwa kwa muda wa masaa sita na kuonekana kila kitu kinaenda vizuri. Anaendelea kusema kinachotakiwa sasa ni kupumzika tu mpaka pale hali yake itakapokuwa vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Fanya mambo mengine.
Huyu meneja kila kitu anafanya siri,ndo mana anawakwamisha wasanii wake....Manager Seven Mosha anayewasimamia Ali Kiba na Ommy Dimpoz amekanusha taarifa zilizosambaa kuwa Ommy Dimpoz amerudishwa hospitali na kulazwa ICU huko south Africa.
Akiongea na Millard Ayo akiwa South Africa Manager Seven amesema kilichopo ni kwamba Ommy Dimpoz alikwenda hospital kucheki afya na maendeleo yake baada ya operation aliyoifanya miezi mitatu iliyopita. Ommy Dimpoz alichekiwa kwa muda wa masaa sita na kuonekana kila kitu kinaenda vizuri. Anaendelea kusema kinachotakiwa sasa ni kupumzika tu mpaka pale hali yake itakapokuwa vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijakuelewa kwamba kinachoponyesha ni maombi au matibabu? Ufafanuzi tafadhaliOmmy ana hali mbaya yupo ICU kitachomuokoa ni maombi yetu tu. Sijajua why Seven ataki kusema ukweli.
Mkumbusheni....Meneja awe mkweli bana
Kuna member humu. Jana kama sio juzi alisema alienda hosp na kumkuta dimpoz kalazwa mi nadhani tumuamini yule