Seven: Ommy Dimpoz hayupo ICU anaendelea vizuri

Decree Holder

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2015
Posts
2,559
Reaction score
3,745
Manager Seven Mosha anayewasimamia Ali Kiba na Ommy Dimpoz amekanusha taarifa zilizosambaa kuwa Ommy Dimpoz amerudishwa hospitali na kulazwa ICU huko south Africa.

Akiongea na Millard Ayo akiwa South Africa Manager Seven amesema kilichopo ni kwamba Ommy Dimpoz alikwenda hospital kucheki afya na maendeleo yake baada ya operation aliyoifanya miezi mitatu iliyopita. Ommy Dimpoz alichekiwa kwa muda wa masaa sita na kuonekana kila kitu kinaenda vizuri. Anaendelea kusema kinachotakiwa sasa ni kupumzika tu mpaka pale hali yake itakapokuwa vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mawazo km haya ndo yanatufanya tubaki kama tulivyo
 
Huyu meneja kila kitu anafanya siri,ndo mana anawakwamisha wasanii wake....
 
''Sauti tamu kama Seven'' daah doz deiz za Mwana F.A akiwapaisha dada-duu wa bongo.

Pole sana Ommy. Kaza moyo.

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom