Decree Holder
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 2,559
- 3,745
Manager Seven Mosha anayewasimamia Ali Kiba na Ommy Dimpoz amekanusha taarifa zilizosambaa kuwa Ommy Dimpoz amerudishwa hospitali na kulazwa ICU huko south Africa.
Akiongea na Millard Ayo akiwa South Africa Manager Seven amesema kilichopo ni kwamba Ommy Dimpoz alikwenda hospital kucheki afya na maendeleo yake baada ya operation aliyoifanya miezi mitatu iliyopita. Ommy Dimpoz alichekiwa kwa muda wa masaa sita na kuonekana kila kitu kinaenda vizuri. Anaendelea kusema kinachotakiwa sasa ni kupumzika tu mpaka pale hali yake itakapokuwa vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app