Sevilla ipo nafasi ya 11 la Liga ila bingwa wa Europa mnahoji nini?

Sevilla ipo nafasi ya 11 la Liga ila bingwa wa Europa mnahoji nini?

Ndio maana ikaitwa FUTUHI na hili la huku likaitwa LOSERS au COMEDY SHOW[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Tuambie lini bingwa wa UCL au CAFCL alitoka nje ya big5

WE HUONI LINAANZA KUCHEZWA KWANZA KUWAWEKA WATU TAYARI KWA MECHI KWELI YA FAINAL YA MABINGWA.
Chelsea 2012 alichukua champions league ila huku epl alikuwa nafasi ya 9
 
Ndio maana ikaitwa FUTUHI na hili la huku likaitwa LOSERS au COMEDY SHOW[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Tuambie lini bingwa wa UCL au CAFCL alitoka nje ya big5

WE HUONI LINAANZA KUCHEZWA KWANZA KUWAWEKA WATU TAYARI KWA MECHI KWELI YA FAINAL YA MABINGWA.
Hujui mpira Chelsea alimfunga buyern munich akatwaa ndoo huku akimaliza nje ya big 4
 
Wale mnaosema inakuwaje timu ya shirikisho ipo nafasi ya 10 ila kawa bingwa

VIP kuhusu SEVILA ambaye yupo nafas ya 11 lakn n bingwa wa Europa?

Tukubaliane tu kuwa YANGA msimu huu ipo vizuri imejipanga kushinda nyie mliocheza miaka yote na kuishia robo

Yanga inajua kucheza mashindano ya mtoano

Tuipe heshima yake na Jana imeonesha ukubwa wake hebu nikumbusheni n mwaka gan Simba iloshinda ardhi ya mwarabu?
Sevila wa 11 sawa lakini walicheza fainali na wa nane kwenye ligi Yao hivyo wapo sawa maana hakuna anaeshiriki UEFA msimu ujao isipokua akichukua ubingwa wa UEROPA league, tofauti na bingwa wa nchi kushindwa kuchukua kombe dhidi ya timu inayopigania kushuka daraja.
 
Ndio maana ikaitwa FUTUHI na hili la huku likaitwa LOSERS au COMEDY SHOW[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Tuambie lini bingwa wa UCL au CAFCL alitoka nje ya big5

WE HUONI LINAANZA KUCHEZWA KWANZA KUWAWEKA WATU TAYARI KWA MECHI KWELI YA FAINAL YA MABINGWA.
Arsepimbi Fan Chelsea FC 2012 ilibeba UEFA CL ikiwa top 6 of EPL table, endelea tu kukaza fuvu lako sababu huu mwaka umepigwa Bongo na Makolokolo pia UK Arse8 kakupiga [emoji1787]
Screenshot_2023-06-05-17-44-20-37_680d03679600f7af0b4c700c6b270fe7.jpg

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Unakumbuka Chelsea kikombe chake Cha kwanza anachukua uefa alikuwa nafas ya ngapi?

Liverpool vs ac Milan unakumbuka Liverpool alikuwa nafas ya ngapi ?

Nadhan mpira umeanza kufuatilia juzi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hadi kanuni ilibidi zibadilishwe ili kufanya Timu zisizidi 4. Ndipo spurs akapigwa na kitu kizito kushika nafasi ya nne wakati Chelsea akichukua Champion League
 
Back
Top Bottom