nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui mpira nimemua kukupuuza..UEFA ndio walijaribu kufanya hivyo ili kulipa mvuto kidogo ila haijasaidia sana
Maana timu zinaona kusafiri umbali mrefu na kucheza mara mbili kwa wiki kwa ajili ya shirikisho ni ujinga
Labda zile timu ambazo hazina uhakika wa kufika top 4 ndio huwa zinakomaa ili zijipatie fursa hiyo kupitia Europa, kama Sevilla vile
HUNA AKILIArsenal baada ya kufanya ivo ameambulia nni?
POLE TOPOLOwe kweli ni matakle
Umepanickwaiyo kuhoji hivi Ndo unajiona una akili,na kama huu uwezo wa kufikili unautumia pia kwenye kuvukia barabara basi jitafakari dogo
Sema wewe ,weka na ushahidi hapaRage aheshimiwe sana popote alipo, Chelsea ampomtoa Barca na kuchukua ubingwa wa UEFA dhidi ya Bayern alikuwa nafasi ya ngapi EPL ?
Liverpool anamfunga AC MILAN 2003 alikuwa nafasi ya 5 pimbi weweUnakumbuka Chelsea kikombe chake Cha kwanza anachukua uefa alikuwa nafas ya ngapi?
Liverpool vs ac Milan unakumbuka Liverpool alikuwa nafas ya ngapi ?
Nadhan mpira umeanza kufuatilia juzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kuelewa,ni kuwa contretration wanaoipa hiyo mechi inakuwa ndogo, hadi wnafungwa na vitimu vidogoKwenye soka hakuna timu inajitoa makusudi ,Arsenal huoni Saka ndani Ode hadi dakika za mwisho waliokuwa wanfosi goli kwa nguvu sasa kama makusudi si wangerahisisha kupiga pasi za nyuma.
Huoni Barca alitia full kikosi ? timu yeyote kubwa kubeba makombe mengi ni heshima hawawezi kuachia kea makusudi Never.
Wewe ndio hujui, makocha kibao wadhasema hilo kombe hawalipi kipaumbeleHujui mpira nimemua kukupuuza..
m.allfootballapp.com
Siyo rahisi utopolo kukuelewa . Wanalazimisha furaha kufika fainali ya kombe la timu dhaifuHakuna timu ya maana inayotamani kushiriki Europa. Liverpool, Man U, Juve Arsenal, Barca kushiriki Europa ni kufeli. Europa ni kwa timu za kati.
Chelsea alishinda UEFA cl wakati EPL akishika nafasi ya sabaNdio maana ikaitwa FUTUHI na hili la huku likaitwa LOSERS au COMEDY SHOW[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tuambie lini bingwa wa UCL au CAFCL alitoka nje ya big5
WE HUONI LINAANZA KUCHEZWA KWANZA KUWAWEKA WATU TAYARI KWA MECHI KWELI YA FAINAL YA MABINGWA.
Sawa VP Chelsea naye alikuwa wa ngapi?Liverpool anamfunga AC MILAN 2003 alikuwa nafasi ya 5 pimbi wewe
Sema wewe ,weka na ushahidi hapa