Sevilla ipo nafasi ya 11 la Liga ila bingwa wa Europa mnahoji nini?

Sevilla ipo nafasi ya 11 la Liga ila bingwa wa Europa mnahoji nini?

Hiii
 

Attachments

  • FB_IMG_16857936235868717.jpg
    FB_IMG_16857936235868717.jpg
    33.2 KB · Views: 3
UEFA ndio walijaribu kufanya hivyo ili kulipa mvuto kidogo ila haijasaidia sana
Maana timu zinaona kusafiri umbali mrefu na kucheza mara mbili kwa wiki kwa ajili ya shirikisho ni ujinga

Labda zile timu ambazo hazina uhakika wa kufika top 4 ndio huwa zinakomaa ili zijipatie fursa hiyo kupitia Europa, kama Sevilla vile
Hujui mpira nimemua kukupuuza..
 
Kwenye soka hakuna timu inajitoa makusudi ,Arsenal huoni Saka ndani Ode hadi dakika za mwisho waliokuwa wanfosi goli kwa nguvu sasa kama makusudi si wangerahisisha kupiga pasi za nyuma.

Huoni Barca alitia full kikosi ? timu yeyote kubwa kubeba makombe mengi ni heshima hawawezi kuachia kea makusudi Never.
Huwezi kuelewa,ni kuwa contretration wanaoipa hiyo mechi inakuwa ndogo, hadi wnafungwa na vitimu vidogo
 
Hakuna timu ya maana inayotamani kushiriki Europa. Liverpool, Man U, Juve Arsenal, Barca kushiriki Europa ni kufeli. Europa ni kwa timu za kati.
 
Kolos baada ya kuambulia 0 wanatafuta faraja kwa vihoja vidogo vidogo! Wamesahau kuwa waliwanga mchana kweupe ili washinde kombe la shirikisho!
 
Wote USM A & YANGA SC wamefika fainali kwa bahati.. Fainali mbovu kabisa
 
Hakuna timu ya maana inayotamani kushiriki Europa. Liverpool, Man U, Juve Arsenal, Barca kushiriki Europa ni kufeli. Europa ni kwa timu za kati.
Siyo rahisi utopolo kukuelewa . Wanalazimisha furaha kufika fainali ya kombe la timu dhaifu
 
Ndio maana ikaitwa FUTUHI na hili la huku likaitwa LOSERS au COMEDY SHOW[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Tuambie lini bingwa wa UCL au CAFCL alitoka nje ya big5


WE HUONI LINAANZA KUCHEZWA KWANZA KUWAWEKA WATU TAYARI KWA MECHI KWELI YA FAINAL YA MABINGWA.
Chelsea alishinda UEFA cl wakati EPL akishika nafasi ya saba
 
Back
Top Bottom