GANA BANKS
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 608
- 872
mbwiga tu unakuwa mbishi afu mweupe kichwaniLiverpool anamfunga AC MILAN 2003 alikuwa nafasi ya 5 pimbi wewe
Chelsea 2012 alichukua champions league ila huku epl alikuwa nafasi ya 9Ndio maana ikaitwa FUTUHI na hili la huku likaitwa LOSERS au COMEDY SHOW[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tuambie lini bingwa wa UCL au CAFCL alitoka nje ya big5
WE HUONI LINAANZA KUCHEZWA KWANZA KUWAWEKA WATU TAYARI KWA MECHI KWELI YA FAINAL YA MABINGWA.
Hujui mpira Chelsea alimfunga buyern munich akatwaa ndoo huku akimaliza nje ya big 4Ndio maana ikaitwa FUTUHI na hili la huku likaitwa LOSERS au COMEDY SHOW[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tuambie lini bingwa wa UCL au CAFCL alitoka nje ya big5
WE HUONI LINAANZA KUCHEZWA KWANZA KUWAWEKA WATU TAYARI KWA MECHI KWELI YA FAINAL YA MABINGWA.
Sevila wa 11 sawa lakini walicheza fainali na wa nane kwenye ligi Yao hivyo wapo sawa maana hakuna anaeshiriki UEFA msimu ujao isipokua akichukua ubingwa wa UEROPA league, tofauti na bingwa wa nchi kushindwa kuchukua kombe dhidi ya timu inayopigania kushuka daraja.Wale mnaosema inakuwaje timu ya shirikisho ipo nafasi ya 10 ila kawa bingwa
VIP kuhusu SEVILA ambaye yupo nafas ya 11 lakn n bingwa wa Europa?
Tukubaliane tu kuwa YANGA msimu huu ipo vizuri imejipanga kushinda nyie mliocheza miaka yote na kuishia robo
Yanga inajua kucheza mashindano ya mtoano
Tuipe heshima yake na Jana imeonesha ukubwa wake hebu nikumbusheni n mwaka gan Simba iloshinda ardhi ya mwarabu?
Arsepimbi Fan Chelsea FC 2012 ilibeba UEFA CL ikiwa top 6 of EPL table, endelea tu kukaza fuvu lako sababu huu mwaka umepigwa Bongo na Makolokolo pia UK Arse8 kakupiga [emoji1787]Ndio maana ikaitwa FUTUHI na hili la huku likaitwa LOSERS au COMEDY SHOW[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tuambie lini bingwa wa UCL au CAFCL alitoka nje ya big5
WE HUONI LINAANZA KUCHEZWA KWANZA KUWAWEKA WATU TAYARI KWA MECHI KWELI YA FAINAL YA MABINGWA.
Hadi kanuni ilibidi zibadilishwe ili kufanya Timu zisizidi 4. Ndipo spurs akapigwa na kitu kizito kushika nafasi ya nne wakati Chelsea akichukua Champion LeagueUnakumbuka Chelsea kikombe chake Cha kwanza anachukua uefa alikuwa nafas ya ngapi?
Liverpool vs ac Milan unakumbuka Liverpool alikuwa nafas ya ngapi ?
Nadhan mpira umeanza kufuatilia juzi
Sent using Jamii Forums mobile app