Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #201
Hahaha wamekaza na sasa ni penatiRoma anapumulia mashine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha wamekaza na sasa ni penatiRoma anapumulia mashine
Penati sasaKusema ukweli mambo ni magumu Sana Kwa Roma..
Amepata 2-1Lamela sasa
Mpaka huruma mwamba kawa na siku mbaya kazini...Mancini wa Roma....amekosa
Yaani kakosa penati na alijifunga
VAR kipa alitoka kabla ya penatiMontiel wa Sevilla anakosa penati
Shughuli iliishia hapo, Sevilla wamenyanyua kwapa sijapenda kabisa mamaeee!Roma wanakosa penati ya pili🤔🤔
Wapewe kombe lao sasaaSevilla mabingwa wa Uefa Europa League